Recent content by The me

  1. T

    Hii kali

    Wote machizi na wote waganga.
  2. T

    Ungekuwa wewe ungemfanya nini mlevi huyu?

    Akili za pombe tunazijua jamani.
  3. T

    Kama unabisha jaribu

    Dah!!!
  4. T

    Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    Peri sio uzembe watanzania tunatumia vizuri kauli za viongozi wetu. "Wapigwe tu"
  5. T

    Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    Lakini kuna kauli ya "NA WAPIGWE TU" sasa hii kauli inatumika kwa wote sio polisi tu wapige raia hata nao hupigwa.
  6. T

    ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

    Kwa nini huwa wanapitisha pale chini vichwa vya habari. Kwa nn wasiweke hiyo kwenye makala ushachelewa wewe.
  7. T

    Hakika wanawake ni viumbe dhaifu!!!

    Usikurupuke. Tulia,fikiria then Andika.
  8. T

    Imeniuma sana, vijana tuwaheshimu mama zetu

    It doesn't matter what kind of tribe she/he is,moron is moron. May god curse him.
  9. T

    Hii ni dharau kwa wachaga

    Wa hapahapa Huyo wako mchaga wa shamba.
  10. T

    Padri feki anaswa Morogoro!

    Lengo lake lilikuwa mkwanja tuu.
  11. T

    Majambazi waendeleza ubabe

    Nae kimbelembele tu wenzake wana silaha ye anakwenda kichwakichwa, kwani sinema hiyo.
  12. T

    Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

    Nonsense kabisa hakuna lolote nyota inafifia na hiyo njia ya kuing'arisha tu,hakuna cha jini wala shetani km mbovu mbovu tu.
Back
Top Bottom