Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,309
- 12,972
Sasa kama watu wengine hawapekeki? Mbona TBC1 matangazo ya vifo na salam utakuta asilimia kubwa ni kusini tu. Nayo utasemaje?Sikiliza radio one matangazo ya vifo utajua radio ya wapi hiyo,
Sasa kama watu wengine hawapekeki? Mbona TBC1 matangazo ya vifo na salam utakuta asilimia kubwa ni kusini tu. Nayo utasemaje?Sikiliza radio one matangazo ya vifo utajua radio ya wapi hiyo,
Sijui kwanini tunamhusisha Mungu katika chuki na wivu wetu
Mimi ni mkurya wa tarime,nyamwighura nasema hv huu ni uzi kijinga na kipumbavu kuliko yote mwaka huu wa 2015...sijui nitawezaje kumfunika huyu jamaa kwa kutoa uzi wa kijinga kuliko yy....ngoja nimtafute shyland anisaidie
Hii pia ikiwa kweli itakuwa ni habari, tena habari kubwa - kuamka na kulala tu??!!!!!Mkuu hata msituni kuna habari sembuse Lindi?Au kule watu wakiamka tu wanarudi tena kulala
Lindi imejifia kivipi? Katika wilaya zote sita kweli hamna habari! Pengine una lako jambo.Unaelewa maana ya Habari? Kuna mikoa hakuna habari mpya labda makala maana ilishajifia mfano Lindi,
Mheshimiwa unafanya Nazi ITV mini ama una share Kyle make shingo ilivyokushupaa hats nyeusi kwako inakuwa nyeupe tu potelea potea
Unaelewa maana ya Habari? Kuna mikoa hakuna habari mpya labda makala maana ilishajifia mfano Lindi,
Hii pia ikiwa kweli itakuwa ni habari, tena habari kubwa - kuamka na kulala tu??!!!!!
Kuanzishwa kwa Azam na ufunguzi wa studio mpya itakuwa ni raha kwangu baada ya kuishia kulalama sana ITV huku wakiweka pamba masikioni, suala la kuibagua mikoa flani kwenye habari zao na kuibeba mingine kila leo halivumiliki, sielewi ni mmiliki ama ni uongozi lakini mnafanya ubaguzi wa wazi mno.
Haiwezekani habari husika mkoa Fulani haioneshwi makusudi zaidi ya Mara kadhaa wakati tayari inatokea pale chini ya kioo kwa habari ya Sikh hiyo, ni ubaguzi. Kutwa Isidingo na movie?
Angalieni wenyewe kama hamuwezi kutengeneza vipindi vya kijamii kaeni na Wafilipino wenu..
Sikiliza radio one matangazo ya vifo utajua radio ya wapi hiyo,
Go to school young man.Mkuu, ujinga mwingine ni kama huu wako, kuacha kujibu kwa kiswahili ukidhani kwamba ukiweka kiingereza basi utaonekana una point zaidi. Huoni kama na wewe umepoteza ufanano/msimamo wa mada? Mie nimeandika kwa kiswahili wewe unaniletea kingereza ili kiwe nini?
Wewe old man mbona shule haijakusaidia. Ulifunzwa kukariri vitu enhee. Unadhani kuandika kingereza ndio usomi? Lini utaelimika wewe mzee?Go to school young man.
ITV is plainly bogus na wanapoteza muelekeo haraka sana. Kuwasaidia ITV warudi kama zamani inabidi wajipange upya na waje kivingine otherwise watajikuta hata matangazo ya biashara hawapati kwani watu hususan mimi na familia yangu ni nadra sana kuangalia ITV, TBC, Clouds TV kutokana na ubovu wao. Too many fake watangazaji na wannabe's.
Yaani in short....ITV, TBC, na Clouds media haziwezi kazi kwa kuwa na wauza sura tu wasiojuwa nini wakifanyacho.
ITV is not a national TV so, the owner can do whatever he wants, inter-alia, the owner is not wantonly prejudicing certain parts of Tanzania, in contrast, he is exercising his rights.
kidhungu!Without God, there is no love or hate. In fact without God, morals does not exist.
Nakushangaa wewe unaeishaangaa kituo bora zaidi cha Tv kuliko vyote Tanzania Kwasasa,
Badala upambane na kituo chako cha taifa unalalamikia chombo cha mtu binafsi,
Sio bure hujui tofautisha baina ya binafsi na Umma.