huu ni uzembe wa jeshi la polisi na serekali.
MwenyeziMungu atunusuru ila tunapoelekea panatisha.
Peri sio uzembe watanzania tunatumia vizuri kauli za viongozi wetu. "Wapigwe tu"
huu ni uzembe wa jeshi la polisi na serekali.
MwenyeziMungu atunusuru ila tunapoelekea panatisha.
Hawa jamaa inabidi wawajibike kuonesha uwajibikaji kwa mwendo huu ikifika December batalioni nzima itakuwa imeshafyekwaWatu waanze kujifunza kuwajibika.... vifo vya polisi vinatosha sasa...... IGP na waziri wake wajiuzuru mara moja..... huu ni uhuni......
Huu ni upuuzi usiotaka msamaha..... Huu ni ujinga..... nimesikia taarifa hii sasa hivi Wapo Fm........ Kuna uzembe wa hali ya juu ya mfumo wa ulinzi wa hivi vituo vya polisi...... tumeshauri Polisi wawezeshwe kuwa na bastola ambazo ni nyepesi ku respond kuliko smg..... hata nchi za wenzetu Polisi wengi wanatembea na bastola ambazo ni nyepesi kutumia na hata katika wepesi wa kuhakikisha usalama wa raia wengine.
SMG zina mahali pake.....Polisi hawataki kubadilika na wamejaa uoga kujitetea kwa wanasiasa hata IGP mwenyewe tofauti na JWTZ...... hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi....