naona ujambazi umekithiri sana,hamna solution la hili janga??KOVA where ur?,wananchi wanazidi kuumia huku.
Kuchukua fedha nyingi bila escort ya polisi ni hatari.
Mi ndo sitowasahau kina kaka jambaz maisha yangu nilipigwa risasi mbili nashkuru moja ilipita mkononi haikunivunja na ingine ilinikosa kabisa na kupiga tyre ya pikipiki mchana kweupee kimara mwisho na polisi walikua mita kama mia na hamsini na wakaja wakachukua pesa na cm zangu na wakannyanganya funguo ya pikpik yangu na kusepa baada ya kusepa nimebaki naugulia maumivu ndo polis wanakuja na kuniuliza upumbavu eti umeibiwa sh ngapi nkawaambia sijui wakat napigwa si mlikua pale nawaona wakanchukua na kunpeleka urafiki nikapewa pf3 na wala sikuitumia nilienda private tu wanaboa sana hawa polisi
hili tatizo ni tata sana.haijulikani nani ni chanzo kikuu cha kutoa taarifa za watu kuwa wanapesa mkononi.Habari za hv punde zikitokea hapa ubungo pembezoni mwa bank ya NBC ni kwamba majambazi wawili wakiwa na usafiri wa pikipiki wamempiga risasi ya mguuni raia mmoja aliyekuwa kabeba mfuko uliokisiwa na fedha.
Risasi hiyo amepigwa baada ya kukaidi kutotaka kutoa huo mfuko aliokuwa amebeba.
Mpaka hv ninapoleta habari hii vijana wengine wa bodaboda wanawafukuzia kwa nyuma hao majambazi huko walipokimbilia.
Nawasilisha.
Hao mkuu dawa yao kama unaonekana uko vizuri unawaambia huku unaangua kilio cha haja kwamba umeibiwa milioni 50 hata kama umeibiwa laki 5 ili wakamalizane na wenyewe!! Mbinu hii kuna jamaa yetu mmoja aliwahi kuitumia alipovamiwa na majambazi, wakati wanampatia msaada wa kumpeleka hospitali jamaa akawa analia amenyang'anywa milioni 30 kumbe kwenye mfuko kulikuwa na magazeti na shilingi laki 3. Miongoni mwa waliojidai wasamaria kumbe na baadhi ya majambazi yalikuwa yamejichanganya na raia wema, jioni yake risasi zikalia huko milimani, polisi kufuatilia wakakuta matatu yamekufa na li-moja liko hoi na bunduki zikiwa zimezagaa hapo. Miongoni mwa vitu vilivyokamatwa ni pamoja na lile fuko la jamaa yetu na laki 3 zake! Kwa hiyo nina uhakika hao polisi wangeambiwa milioni 50 lazima wangeenda kuuana!!Saana kaka yaani kama ukivamiwa ukaibiwa wao wakija swali la kwanza wanauliza umeibiwa bei gani so wao wanataka wajue inamaana wako nao ili wasipigane changa katika mgao au maana badala ya kuuliza usalama wako wao wanauliza pesa tu
Unaijua risasi au unaongea tu. . . . . . .ujambazi ni issue tata sana. muda mwingine huyo aliyeporwa utakuta ndio kacheza dili na rafiki zake wezi ili wamtandike risasi mguuni halafu wampore mahela halafu badae wagawane. Hali hii wanaitumia wahasibu wakitumwa na makampuni kuchukua hela benk
Unaijua risasi au unaongea tu. . . . . . .
Hao mkuu dawa yao kama unaonekana uko vizuri unawaambia huku unaangua kilio cha haja kwamba umeibiwa milioni 50 hata kama umeibiwa laki 5 ili wakamalizane na wenyewe!! Mbinu hii kuna jamaa yetu mmoja aliwahi kuitumia alipovamiwa na majambazi, wakati wanampatia msaada wa kumpeleka hospitali jamaa akawa analia amenyang'anywa milioni 30 kumbe kwenye mfuko kulikuwa na magazeti na shilingi laki 3. Miongoni mwa waliojidai wasamaria kumbe na baadhi ya majambazi yalikuwa yamejichanganya na raia wema, jioni yake risasi zikalia huko milimani, polisi kufuatilia wakakuta matatu yamekufa na li-moja liko hoi na bunduki zikiwa zimezagaa hapo. Miongoni mwa vitu vilivyokamatwa ni pamoja na lile fuko la jamaa yetu na laki 3 zake! Kwa hiyo nina uhakika hao polisi wangeambiwa milioni 50 lazima wangeenda kuuana!!
Mmmmh atayekubaliana hivyo haijui risasi kama wewe. .,Wanafanya kwaa makubaliano waparuzane kidogo lakin majambaz mda mwingine wanawageuka wanawalima risasi kweli
Pesa ilimuuza bwana yesu
Point. Wanaweza kukuzombe hao hao.mijangili imo mingi polisi na jeshi.kwenye Pesa usimuamini hata askari hakawii kuuza mchezo
Hawa jamaa wamekuja nusu saa baada ya tukio ila kuna mwendesha bodaboda mmoja kakoswa koswa na risasi akiwa anawafukuza kwa nyuma.