Picha: Maaskofu kutoka madhehebu mbalimbali wamtembelea Gwajima TMJ

Wapendeni Adui zenu.. Hata kujulia hali hamtaki? Ni vizuri apone tuendelee na Episode ya mwezi huu
 
Jopo la maaskofu kutoka madhebehu mbali wamefika Hospitali ya TMJ jioni ya leo Tarehe 30/3/2015 kumjulia hali Askofu Gwajima

Pia Askofu Vernon Fernandes akiwa na mkewe pamoja na askofu Mwasota wafika jioni ya leo Hospitali ya TMJ Kumjulia hali Askofu Gwajima

Mchungaji Peter Nyaga alifika pia kumuombea Askofu Gwajima hospitalini TMJ, maaskofu wote wameridhishwa na hali ya afya ya Askofu Gwajima kwa kuwa afya yake imeimarika sana.​

Get well soon...!
 
Safi sn maaskofu. Mungu ni mwema. Namuombea apone haraka ili aungane na mtikila kupinga mahakama ya kadhi
 
Wale wa juzi walipeleka pisto na boxer hawa wamepeleka smg na nini?
 
Safi sn maaskofu. Mungu ni mwema. Namuombea apone haraka ili aungane na mtikila kupinga mahakama ya kadhi
Safi ya nini wakati mtu jambazi mpelekeeni n mabomu kabisa ili ajilipue kabisa.
 
Jopo la maaskofu kutoka madhebehu mbali wamefika Hospitali ya TMJ jioni ya leo Tarehe 30/3/2015 kumjulia hali Askofu Gwajima

Pia Askofu Vernon Fernandes akiwa na mkewe pamoja na askofu Mwasota wafika jioni ya leo Hospitali ya TMJ Kumjulia hali Askofu Gwajima

Mchungaji Peter Nyaga alifika pia kumuombea Askofu Gwajima hospitalini TMJ, maaskofu wote wameridhishwa na hali ya afya ya Askofu Gwajima kwa kuwa afya yake imeimarika sana.​

Anaumwa nn?
 
Mungu anataka atende jambo ambalo Litaitikisa Dunia na siyo tu Tanzania maana imeandikwa
''Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako ktk hukumu utauhukumu kua mkosa,huu ndio urithi wa watumishi wa bwana na haki yao inayotoka kwangu Mimi asema Bwana "
Isaya 54:17
 
Back
Top Bottom