Hivi kuvaa mlegezo ni fasheni au ni uchizi?

Nafikiri itungwe sheria. Mtu akionekana amevaa mlegezo ( Kwa wanaume na wanawake) adhabu iwe mijeledi 20 on the spot. Tabia hiyo itakoma.
 
Nafikiri itungwe sheria. Mtu akionekana amevaa mlegezo ( Kwa wanaume na wanawake) adhabu iwe mijeledi 20 on the spot. Tabia hiyo itakoma.
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100
 
Ni uwendawazimu tu.Mwanaume mwenye heshima zake hawezi kuvaa kihuni namna hiyo.Mwanaume akivaa hivyo namshusha thamani sana.
Umenena da'dangu, na nakupa bigup sana kwa kuwapasha LIVE hao 'mabrazameni' wasiojitambua.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Haiwezekani upo kwenye gari na wazee na watoto, kinaingia kibinti au kibishoo tu, ile kinakaa chupi nje. Duh? unajikuta wewe ndio unaona aibu.

Mijitu mingine sijui akili wanaziachaga nyumbani because no sensible person anaweza kuvaa hivyo.
 
milegezo ina athari kiafya, ni kulegea kwa misuri na nyonga hapo ukubwani, hii inatokana na kuitanua miguu ili kuishika suruali isidondoke,
 
Mi nadhan ni age na wapi ulipo kulia, Nakumbuka hata mi shapiga sana hizo mavitu back then...Ila with my 30s na majukumu automatic surual imerud mahala pake...
 
attachment.php
 
wengine huiga..
Ila maana yake ni Mashoga..
Mtindo huu ulianzia marekani katika
majela mtu akipiga mlegezo
hafanyiwi vurugu ili kubakwa,just maongezi hufanyika.
Hii inaenda sambamba na kutoboa sikio kama ni
la kushoto maana yake we hugongwa tu.
kama la kulia maana yake we hugonga tu.
kama ni yote......

kwa hiyo unamaanisha mi nilietoboa maskio nagongwa /////////////:embarrassed1:
 
Duh.... umenifanya nicheke sana, yaani kila miaka inavyosonga mbele, ndiyo 'uchizi' wa kuzidi kuitelemsha hiyo suruali ndiyo unaongezeka.

Kwa hiyo hapo miaka ya baadaye watazivua kabisa suruali zao na kubaki na underpants, na hizo suruali watakuwa wanazikokota kwenye matoroli!

Kweli ujana ni shiiiidaaaaaa............
 
Hii orodha ni janga la kimaadili la waziwazi kwa taifa

1. wanaume wanaovaa suruali mlegezo na kuonyesha vyupi vyao tena vichafu
2. wanaume waotembea mitaani vifua wazi
3. wanaume wanaotukana watu matusi hasa yanayohusisha mama wa anayetukanwa
4. wanawake wanaovaa sketi fupi, vitop na kuonyesha vyupi vyao
5. wanawake wanaovaa viblauzi/vinguo vinavyotunishia matiti nje kama ya.
6. wanawake wasio vaa vyupi halafu hawajui kukaa vizuri au kujisitiri
7. wanawake watu wazima wanaovaa visuruali vya watoto wachanga
 
Back
Top Bottom