Recent content by Stress Challenger

  1. Stress Challenger

    Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

    Naingia chimbo hadi kesho asubuhi watashikwa wote kwasababu nataka kuisaidia Polisi. Ni hivi Dokta itakuwa alikuwa anamgonga mke wa mtu. Wauaji wakaamua kumtumia huyo bar maid kumsogeza dokta wakamcharaza mna kumpigwaa miti kwa hiari na kuchana nguo maksudi kusingiziwa kabakwa
  2. Stress Challenger

    Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?

    Utakuwa ukigongewa tu demu, mchepuko na mke wako kwasababu dushe litakuwa limesinyaa tu. Iyo ndo athar
  3. Stress Challenger

    Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

    Wote waliohusika na mauaji na ubakaji watashikwa tu. Jeshi la police Tanzania lina weledi sana linapofanya kazi kwa uhuru bila kuibgiliwa. Naliamini sana jeshi letu la police ni werevu na intelligent kuliko hata police wa ulaya na Marekani. Kwa nini nasema hivi kwasababu police wetu hawatumii...
  4. Stress Challenger

    Hakuna watu wajinga na wenye roho mbaya duniani kama Watanzania?

    Watanzania wengi ni wezi, wanafiki, waongo, waoga, wachawi na wavivu nikiwemo mimi. Nyerere na Magufuli ndo wakulaumiwa.
  5. Stress Challenger

    Natinga Kenya kumlinda Ruto na Serikali yake

    Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe. Ila baada ya ishu ya Trump kuimaliza tunashuka Nairobi. Ole wake Raila na genge lake waitishe tena fujo tutatembeza mkong'oto wa aina...
  6. Stress Challenger

    Waganga wa siku hizi wamekuwa wahuni

    Zamani ukienda kwa mganga masharti uje na mbuzi mweupe au jogoo mweusi. Sasa hivi wamekuwa na mbinu geni. Nimesogezewa hii habari leo Kuna huyu mganga huko Arusha anaitwa Minja. Sasa wee jiulize tu tangu lini mchaga akawa mganga. Yani Minja anatatua wateja marynder kama masharti ya matibabu...
  7. Stress Challenger

    Tulioweka hela zetu Credit Swiss matumbo joto

    Credit Suisse ya Usiwiz imeiomba Swiss Central Bank iipige jeki baada ya hisa zake kushuka kwa kasi ' nose dive'. Hii hali imetokana baada ya SVB silicon Valley Bank ya Marekani hisa zake zilipoanza kushuka. Wawekezaji wakubwa na wadau wa Credit Suisse wamekataa kuendele kutoa msaada wakifedha...
  8. Stress Challenger

    Sheria ya kunyonga itekelezwe bila huruma

    Mama usiogope. Weka sahihi wale wote wamehukumiwa kihalali kunyongwa hadi kufa wanyongwe tena hadharani mbele ya kadamnasi. Temana na hivi vikundi uchwara wa haki za binadamu. Tia sahihi waliohukumiwa kunyongwa wanyongwe hadi kufa. Tena wote kwa mkupuo iwe funzo. Watu wanaua hovyo hovyo tu...
  9. Stress Challenger

    Naingia chimbo hadi kesho asubuhi waliomuua Martha watajulikana kwasababu ya huu ushahidi mmoja tu

    Lazima tu kwa magari yote yaliyopaki ama yaliopo nje ya kanisa la Kilutheri Tumbi hapatakosekana yenye Dashcam. Pia njiani kuelekea kwenye pori tengefu lazima hawa watekaji na wauaji walipishana na magari lazima kulikuwa na magari tu yenye Dashcam. Polisi watoe wito wote wenye magari yenye...
  10. Stress Challenger

    Tusiwalaumu sana watu kama kina Salaah

    Mbongo ukimchekea chekea sana kwenye kutafuta ama Biashara atakurudisha nyuma. Ukikubali mazoea na mmatumbi atakupandia hadi mabegani. Kina Salaah wanakuwa kichwa ngumu na ukauzu juu ilibmambo yao yaendelee. Waulize Uchumi na ShopRite wako wapi? Dawa ya mbongo ili aendelee na awe na utii...
  11. Stress Challenger

    Elon Musk analindwa na bodyguard wawili hadi akienda chooni akiwa makao makuu ya Twitter

    Engineer wa Twitter ambaye hakutaka jina lake liwekwe wazi kaimbia BBC mmiliki wa Twitter Billionaire Elon Musk analindwa na kusindikizwa kila mahali hadi chooni na madodyguard wawili mabaunsa waliopanda hewani. Elon Musk pua kamuongezea ulinzi baba yake nyumbani kwake Africa kusini kwa...
  12. Stress Challenger

    Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

    Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua. Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki. Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
  13. Stress Challenger

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Usicheze na defamation kesi ya shauri ya madai. Nataka kuwasaidia bodaboda msaada wa bure wa kisheria defamation. Hii lawsuit ni ya kufidiwa na Mwamba wa kaskazini God bless Lema baada ya UVCCM kukazania eti Lema kuwatukana kazi yao ni ya laana. Nitashirikiana bega kwa bega na Mataga pamoja na...
Back
Top Bottom