Tusiwalaumu sana watu kama kina Salaah

Stress Challenger

JF-Expert Member
Feb 24, 2022
1,778
4,289
Mbongo ukimchekea chekea sana kwenye kutafuta ama Biashara atakurudisha nyuma.

Ukikubali mazoea na mmatumbi atakupandia hadi mabegani.

Kina Salaah wanakuwa kichwa ngumu na ukauzu juu ilibmambo yao yaendelee. Waulize Uchumi na ShopRite wako wapi?

Dawa ya mbongo ili aendelee na awe na utii lazima 'kucreate' fear. Iwe kwa kushusha mkong'otona hata kutatuamarinda.

Dhuluma ni nyingi sana. Mswahili ukimkopesha angalia tu dharau anazokuonesha ukimuambia akulipe. Anakuambia ukitaka niue.

Salaah anaweza kuwa na mapungufu yake lakini mechanism anayotumia ni defensive ili Biashara zake ziendelee.

Mjerumani alikuwa anatembeza mboko ndo maana mambo yalienda.

Salaah bana hapohapo usiachie. Ila tu usiwe muonevu na mdhulumati
 
Back
Top Bottom