Recent content by Prince_mandela

  1. Prince_mandela

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inabidi uwe na roho ngumi sana kucheza hii [emoji23]
  2. Prince_mandela

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Naweza vipi pata subtitles ya english ya movie ya B CUT 2022
  3. Prince_mandela

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    SHORT STORY: Nipo Mbeya karibu sita sasa, kutokana na eneo nililokuwa nimefikia kulikuwa nje kidogo ya mjini ko sikuweza kuwa na optin nyingine zaidi ya 3000 kwa siku kupitia mitandao afu hakuna kupakua mafile nikajitahid mwezi huu nikahamia sehemu nyingine ambayo ipo katikati ya jiji nikagundua...
  4. Prince_mandela

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Chief mkwawa amewahi ongea hiki kitu lakin sikumtilia maanan ilala sasa ndo nimejua kwann aliaema hivi baada ya kujaribu internet zote alizo pendekeza yupo 100% right [emoji1374]
  5. Prince_mandela

    Namna ya kumpigia aliyekublock

    How about mtu skitumia simu matoleo ya zamani kama zile nokia jeneza,Motorola na simens inaweza kubali au?
  6. Prince_mandela

    Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    Dah kiukwel hawana maajabu, TTCL kawaacha Tujisogeze karibu na miji tu
  7. Prince_mandela

    Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    Afu kuna issue wanasema kuanzia saa nne usiku hadi 12 asubuhi kwakupakua vitu vikubwa unaweza panga file zako kushusha maana data hazihesabiwi, sa sijajua ni yakweli hii kitu?
  8. Prince_mandela

    Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    Mkuu umesema kweli nimejaribu na kuwauliza wqmesema bado ipo ila kulipia miez 11 ndo upewe kit bure afu cost za installation 250000 kwa engineer wao ukimtumia kama unaweza au unamjua mtu anayeweza funga hiyo cost ya installation hutolipia.
  9. Prince_mandela

    Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    Duh kumbe kulipia mpka mwaka mzima [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Prince_mandela

    Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    hii kama ofa wanayo bado kwa tuliopo kijijini tuanze nahawa tu maana huku nilipo hakuna cha copper wala harufu ya fiber na bando la simu ndo hivyo tena [emoji29]
  11. Prince_mandela

    Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    Kit wamekwambia shingap maana badikia kit yso bei yake milion na upuuzi
Back
Top Bottom