Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,349
12,933
Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara.

Pia naona unatakiwa kuwa na dish na mambo mengine mengi tu. Kwa aliyeitumia, inapatikana maeneo gani nchini? Ni nzuri na nafuu kama wanavyodai?
 
Wanasema latency ni nzuri hata kama inatumia satellite.Coverage yake ni Tanzania nzima na nchi jirani kwa sababu wanatumia Satellite ya Eutelsat kama Azam na DSTV.Nimeambatatisha baadhi ya vipeperushi vyao unaweza kupata taarifa zaidi.
 
Attachments

  • KN_TANZANIA_LEAFLET_KITMEDIA_MARCH.pdf
    1.7 MB · Views: 130
  • Tanzania - March 2022 General Presentation Konnect.pdf
    2.3 MB · Views: 99
Wanasema latency ni nzuri hata kama inatumia satellite.Coverage yake ni Tanzania nzima na nchi jirani kwa sababu wanatumia Satellite ya Eutelsat kama Azam na DSTV.Nimeambatatisha baadhi ya vipeperushi vyao unaweza kupata taarifa zaidi.
Shida itakuwa msimu wa mvua maana hata dish uwa channel zinakwamba na kupotea
 
Hizo kamba tu mkuu hakuna Latency nzuri kwenye satelite. Musk mwenyewe anaetumia low orbit satelite ana struggle na ping sembuse hizo satelite za TV?

Kama una matumizi yoyote ya ping achana nayo, kupiga simu, video call, kustream mpira etc.

Chukua kama unstream youtube, unaangalia Netflix, unadownload etc.
 
Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara.

Pia naona unatakiwa kuwa na dish na mambo mengine mengi tu. Kwa aliyeitumia, inapatikana maeneo gani nchini? Ni nzuri na nafuu kama wanavyodai?
Moja ya faida ya Satelite mkuu ni coverage, hio Konnect kajifungie popote Tanzania inapatikana. Ni kama Unavyoona Azam ama dstv zipo Nchi nzima.
 
Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.

Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
 
Kit wamekwambia shingap maana badikia kit yso bei yake milion na upuuzi
 
IMG_7182.jpg

hii kama ofa wanayo bado kwa tuliopo kijijini tuanze nahawa tu maana huku nilipo hakuna cha copper wala harufu ya fiber na bando la simu ndo hivyo tena
 
Afu kuna issue wanasema kuanzia saa nne usiku hadi 12 asubuhi kwakupakua vitu vikubwa unaweza panga file zako kushusha maana data hazihesabiwi, sa sijajua ni yakweli hii kitu?
Waulize hazihesabiwi kwa speed? Ama hazihesabiwi sababu mchana sio unlimited?

Vyema mkuu upate mtu anaeitumia ama kama ofisini kwao kuna demo ukatest ujiridhishe
 
Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.

Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
Na mimi niliona hilo. Kama wababaishaji hivi.
 
Back
Top Bottom