Recent content by Mbuzi mee

  1. M

    Waziri wa Usalama Israel anusurika kwenye ajali mbaya akimbizwa hospital

    Ukute dada zako na mama zako wana gongwa na kuzalishwa na hao hao unaowatukania Dini yao...Binafsi kwa sababu najua koo zetu siku hizi zinamchanganyiko wa Dini huwa najiepusha sana na malumbano ya Dini.
  2. M

    CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    CCm hivi viwanja bora waingie ubia na watu...watu wataweka Gym zao na pia watavikarabati vizuri..maana viko vingi katikati ya miji
  3. M

    CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Jimama huwa halitumiagi akili...hayo ndio madhara ya kujibu jibu kila kitu kwa kutetea lazma upate upofu
  4. M

    CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Punguza ushangingi jimama tamu tamu....viwanja mmehodhi ila kuviendeleza mtihani... Rudisheni serikalini viendelezwe kwa kodi zetu
  5. M

    CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Dodoma stadium...yaan shule za private wana viwanja vyenye pitch kali balaa...ila vya ccm vinasadifu akilli za viongozi kutoka ccm
  6. M

    CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku. Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
  7. M

    TV4Sale Nauza TV Smart, 4K

    Nenda kwenye bar or grocery za mtaani utapata wateja....kwa hiz tv mteja akikupa fedha haizid laki moja na 20
  8. M

    Tanzania tumeshindwa kutunza nyasi za viwanja vya kuchezea Mpira viwanja vya Mikoani vinatia aibu

    Moja ya ubwege nao upigiaga kelele ni huo....Yaan mpaka huwa najiuliza hivi viwanja si vya ccm? Na vingi vina fremu za biashara kwa nje..Yaan wanakosaje kuchimba visima vya milion ishirin kila kiwanja ndani yake kwa ajali ya maji ya vyooni na umwagiliaji? Saa nyingine unaweza kufuru Mungu kwa...
  9. M

    Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    Hivi dollar picha yake imebadilishwa mara ngapi?
Back
Top Bottom