CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

Mbuzi mee

Senior Member
Dec 29, 2022
127
166
Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.

Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
 
Utakuta meneja wa uwanja nae anamlaumu mwl kwa kufelisha au Dr kupasua kiungo tofauti.

Kifupi hivi viwanja ni Alama ya failure kiungozi na utawala nchini as Kuna shule zina viwanja vizuri kuliko hivi viwanja vya ligi kuu
 
Dodoma stadium...yaan shule za private wana viwanja vyenye pitch kali balaa...ila vya ccm vinasadifu akilli za viongozi kutoka ccm
 
Kama huu uwanja wa Dodoma taa zake hafifu sana hata haifurahishi kuangalia kwenye TV.. naangalia mpira wa Yanga na Dodoma jiji hapa yaani picha hovyo kabisa sababu taa hafifu
 
Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.

Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
Fursa hiyo ya kujenga vyako.

Usingoje kila kitu kufanyiwa. Kipaumbele chako siyo cha mwenzako.
 
Fursa hiyo ya kujenga vyako.

Usingoje kila kitu kufanyiwa. Kipaumbele chako siyo cha mwenzako.
Punguza ushangingi jimama tamu tamu....viwanja mmehodhi ila kuviendeleza mtihani... Rudisheni serikalini viendelezwe kwa kodi zetu
 
Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.

Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
Mwaka jana walichota pesa za serikali wakaweka taa na chenji mfukoni.
 
Back
Top Bottom