ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,594
Ukiangalia kinachoendelea Congo DRC ni wazi unaweza hisi kabisa kwamba aliyeko Madarakani nae ni kibaraka wa Kigali.
Haiwezekani Wananchi wa DRC wanaoteseka Kwa Mauaji,m23 wanateka Miji na Vijijini na kutumikishwa watu kwenye migodi haramu lakini jeshinla DRC/SADC/UN/EAC yote yameshindwa kuwalinda Watu lakini kina Felix wako kimya.
Matukio ya Mauaji yanatokea wakubwa wa West wanaishia kufanya maigizo ya kulaumu Rwanda/m23 lakini hakuna hatua wanachukua.
Tumeona mifano Kwa Bukinafaso,Mali,Niger,nk walipowatimua Wanajeshi wa wasaliti hao wa West Africa wameomba Msaada Kwa Russia/Wegner na wamepata utulivu.
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1786358575025070443?t=bpFFGm-iUB39cwXxldSmdQ&s=19
Swali: Kwa nini Felix Tchisekedi amekausha anajifanya kulalama? Anaogopa nini au nae ni wale wale?
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1786644303613161652?t=xfVeLJXTsmpqvNfujNK1Yw&s=19