Recent content by kukumsela

  1. kukumsela

    Masoud Masoud, Manju wa muziki ni nani?

    Tatizo sio kustaafu bali mbadala wake ni nani
  2. kukumsela

    Masoud Masoud, Manju wa muziki ni nani?

    Kabisa mkuuu
  3. kukumsela

    Masoud Masoud, Manju wa muziki ni nani?

    Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC. Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla. Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka...
  4. kukumsela

    FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    Hii sub ni ya kimkatikati vp Pale timu inaposhambuliwa upande wa kushoto anakwepo mwenda na shabalala Lakini kwa upande wa kulia anakwepo kapombe na duchu Safi sana coach Benchika
  5. kukumsela

    Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

    Shingap Mkuu?
  6. kukumsela

    Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

    Acha uvivu usipende kutafuniwa
Back
Top Bottom