Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

Imenibidi niingie Youtube kumtafuta huyo jamaa. Inasikitisha sana kuambiwa ni genious kwa sababu anaongea kiswahili kingi na nahau
Acha wivu we kenge mwitu wa chadema.

Hauwezi kufikia akili ya yule mnyaturu, ndio maana umejibanza mtandaoni ukirusha matusi kwa kujificha.

Jitokeze na wewe tuone nahau zako. Alaaah!
 
Back
Top Bottom