reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 11,928
- 28,017
Pole Sana maumivu yakizidi muone Dr.mloganzila siku hizi Wana Fanya operesheni zoteUnaanzaje kuangalia mipira ya Mipang'ang'a ilihali wewe ni Mwananchi kama si uwongo huu ni nini
Pole Sana maumivu yakizidi muone Dr.mloganzila siku hizi Wana Fanya operesheni zoteUnaanzaje kuangalia mipira ya Mipang'ang'a ilihali wewe ni Mwananchi kama si uwongo huu ni nini
Kweli kabisaSio kwa match hiii..
Kibu angebaki kwanza
Ngoja tuone labda tutakutana na surprise nyingineSio kwa match hiii..
Kibu angebaki kwanza
OperesheiPole Sana maumivu yakizidi muone Dr.mloganzila siku hizi Wana Fanya opereshei zote
Game plan ni ya kocha!Sub mbovu hi
Sawa70' S.S.C 2 - 0 WAC
Wote mmelosa ni preshenOpereshei
Oparesheni
Ulienda shuleni kusomea ujinga
Mwehu huyo kafata cameraHuyu Gongowazi anaonesha alama ya kubebwa jukwaani ndio anayefanya Yanga wote waonekane hawana akili