😄😄, Au dumaDuh ndo nani?
sina ig mkuu, nidokezee kwa ufupi tuMfatilie kupitia Instagram utakuja kunishukuru
Yaani kukariri hiyo misamiati ya Kiswahili amekuwa jiniasi tayari. Dogo amesomea mathematics kama sijakosea, sema tu ana kipaji cha kupiga parapata.Wivu unakutesa we mtanganyika uchwara!!
Lipia tangazoHabari wakuu,
juzi kati hapa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
Smart fellaHabari wakuu,
juzi kati hapa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
Hivi jamani genius Prof Lipumbuni yupo wapi siku hizi?
Wengi hapa mnacomment kinafiki kana kwamba hamumfahamu Joram. Acheni upumbavu. Mleta mada yuko sahihi sijaona alichokosea
Kwani vigezo vya kuwa giniazi ni vipi jamani? Embu mleta mada atuwekee hapa vigezo vya kuwa giniazi
Cha ajabu akiteuliwa uwaziri unashangaa ana underperform. Tuache exaggerate watu kwa kuwapa sifa kuliko wanazostahili.
Lugha ya kiswahili. Nimemfuatilia YouTubeAnajihusisha na kitu gani huyo mtu
joram wa namtumboo hapoHabari wakuu,
juzi kati hapa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo