Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

Habari wakuu,

juzi kati hapa nimepata wasaa wa kuangalia video kumhusu huyu kijana aitwaye Joram Nkumbi ama hakika huyu kijana yupo nondo mnoo
Smart fella

Very very smart

Very good public speaker

Kwenye kutetea ujamaa ambao ni essentially umasikini ndio kaniangusha
 
Nilichogundua kwenye hii mada. Kwa Sasa fani ya uchawa imekuwa kubwa Sana Tanzania.
 
Joram akija hapa hakuna mtu anaweza battle nae ..

He is an Intellect.
Endeleeni na madharau yenu.
 
Ulaya mageneus wametengeneza ndege, meli, magari, madaraja makubwa, wameleta pia maformula yalutengeza mavitu duniani hapa, magenius wanatengeneza manowari, makombora nk..

Huku mtu akiongeaonge kwenye TV au radio kwa vitu alivyokalili shule na kutoa mifano ya vitabu basi huyo tayari ni bonge la Geneus, siku ukipata bahati yakukutana na mimi basi utaniita extra geneus..
 
Back
Top Bottom