Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

Nimemfatilia hapa, yes anaongea ila si genius ni ntellect, sema ni muongeaji.
Nimeona kala hadi tuzo za aylf , ni volunteer wa PLO LUMUMBA Foundation
Na ana MBA. Safi.

Ila dogo anakula mraa huyu au ugoro. Kwann anaongea vile?
 
Joramu ni mkariri wa kiswahili cha zamani. Hushauri tuongee kiswahili cha mwaka 1800, kiswahili kilichojihia na kisichoelrweka na wengi. Lugha hujikuza yenyewe na hujifia yenyewe.
 
Back
Top Bottom