Recent content by Katasheka jr

  1. Katasheka jr

    Mkandarasi ameagizwa asisambaze umeme majimbo ya upinzani! Ubaguzi huu Tanzania ni kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    wewe ndo mpumbavu kabisa Unaleta udaku tu hapa Nenda Arusha leo uone inavyojengwa, kuna miradi ya barabara, maji, kwani ccm ndiyo inaingoza halmashauri? Mnapenda kuishi kwa udaku tu
  2. Katasheka jr

    Wassira: Nyalandu ameanza kuwapigia simu baadhi ya viongozi wa CCM

    Alikuwa upinzani kwa kazi maalumu NCCR unaiona ina nguvu gani sasa hivi? Ni hesabu tu, Nyarandu anapiga mzigo, anampasia Lowasa, Lowasa anapeleka kunakohusika! Nafikiri juzi uliona wakati anawasilisha ripoti
  3. Katasheka jr

    Halima Mdee: Kuna dhamira ya kutaka kumfunga Sugu

    Kwa hiyo angepata dhamana ndiyo asingefunwa hata kama ana hatia? Kama ni njama kaitengeneza yeye ili afungwe, kwa manana hakuna aliyemwambia aropoke
  4. Katasheka jr

    Je, Joseph Mbilinyi (Sugu) anaweza kufungwa?

    Hayo ni maono au ndoto? Siasa za matusi hazina nafasi kipindi hiki .Na siyo kwamba watanzania ni waoga, hapana Siyo wapinzani au wananchi, sote tulimuomba Mungu tupate Rais jasiri, asiyependa rushwa Asiye mzururaji Mwenye kiu ya maendeleo,Naam tulipigia kura mabadiliko! Ushauri kwa upinzani...
  5. Katasheka jr

    Watanzania wenzangu hawa ni wajinga au mimi ni mjinga zaidi yao?

    Yericko Nyerere Hata pale tulipomshutumu Mbowe kumuuzia chama lowasa na kutamba kuwa amebadili gia angani,, we ni miongoni mwa watu waliofuraia hiyo dili! Kama ni uzoba wengi wako upande wako, hata demokrasia unayoidai ingeanzia kwenye chama chako!
  6. Katasheka jr

    Kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumrudisha Mtulia Kinondoni

    Salum Mwalimu alipigiwa kura na nani kwenye kura za maoni hadi akatangazwa? Kinondoni nzima hakuna mwanachadema mwenye sifa hadi muazime mzanzibari? Ccm walikosea sana, lkn na chadema wamekosea zaidi Chadema na cuf mtagawana za upinzani, kura za ccm huwa hazipotei! Anzeni kutafuta...
  7. Katasheka jr

    Wanachadema hamjachoshwa na hii too much expectation with zero strategy?

    Salum hata kura hawezi kujipigia! Kuna utani kuwa kura yake ameisahau Zanzibar!!
  8. Katasheka jr

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Pasco mbona hujatuambia uhuni wa chadema? Walituambia hawatashiriki uchaguzi hadi kasoro walizoziona wao kwenye uchaguzi wa marudio zifanyiwe kazi na tume! Je kasoro hizo zimefanyiwa kazi na tume? Mbona chadema haileti mrejesho kwa wananchi kuwa hizo kasoro zimefanyiwa kazi? Je aliyeoongoza...
  9. Katasheka jr

    Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

    Hivi wale jamaa walishindwa nini kulimalizia!
  10. Katasheka jr

    Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

    Ndiyo maana vyama vyao vimekufa, kwa hiyo unataka chadema ife kwa style hiyo? Binadamu tunaishi kwa kubadilika, usipobadilika mazingira au wakati vitakubadilisha!
  11. Katasheka jr

    Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    Labda Lisu aniambie Lowasa amevunja katiba au kifungu kipi ndani ya chama au nchi Sioni tatizo raia tena PM mstaafu kama anavyoitwa kuonana na rais wake! Kwanza PM mstaafu yoyote ni mshauri wa serikali iliyopo Lisu, lema, Mbowe tambueni kuwa Lowasa kwenu ni high level, mambo ya chama...
  12. Katasheka jr

    Mangula, Nape kukinukisha Songea Mjini kwenye kampeni za uchaguzi mdogo

    Kama ni wasaliti wachapwe tu ,hakuna aliye juu ya Tanzania
Back
Top Bottom