Rais Kagame ashinda tuzo ya Kiongozi bora Afrika licha ya rais Magufuli kuongoza kwa kura

Waingereza hawawezi kumpa Rais Magufuli walizoea kuiba rasirimali zetu na Magufuli kawabana hawafurukuti lakini kwa kuwa watz tunamkubali weenda na tuzo zao huko!!
Naambiwa hiz ndo comment za vijana wa lumumba ambazo zilikua zinasubiriwa kwny huu uzi humu

Tafiti yangu izingatiwe
 
Back
Top Bottom