Rais Magufuli ateunga uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama

mapinduzi daima ,
Mkuu,
Hayo ndiyo makosa.
Heka.zimepotea aliyemtoa idhini ni aliyetuguliwa sasa PCCB inafanya uchunguzi wa nini wakati hela zimetumbuliwa na mwenye idhini ni uyo huyo aliyetenguliwa!?

Any way, tuliishakosea njia. Ngoja tupotee hadi mwisho ila badae tutaanza safari kwa upya ...
Poise
Sijakuelewa context ya ujumbe wako

Tafadhali nijulishe tena
 
ID yangu ni hii hii mzee sijawahi badili na sijawahi tumia majina tofauti ya kujificha itakua unanihisi au kuhisi mtu tofauti.
Na pia napongeza mazuri yanayofanywa na serikali si tu mazuri yanayofanywa na chama kilichopo madarakani hata ingekua chadema na imefanya mazuri ningepongeza wewe ulitaka nimtetee huyo mkurugenzi kua kafanya mazuri kuibia wananchi wake? Na pia kuibia serikali kwa uaminifu na dhamana aliyopewa na Rais ushabiki mwingine wakizamani watu wanapewa dhamana wanaiba afanyweje sasa abembelezwe eti usiibe tena au afundishwe wajibu wake na majukumu yake?
 
Habari wanaJF,

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa Rais Dkt John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa halmashauri ya Butiama mkoani Mara Solomoni Ngiliule kuanzia leo kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma.
wale watuhumiwa wa mh Nassari vipi ?
 
Ukifikiria kwa upana, utaona tatizo ni la kimfumo. Ni vigumu sana kwa wateuliwa kuwa accountable kwa wananchi. Unahitajika mfumo ambao wananchi wanakuwa ndiyo wenye mamlaka katika kuwawajibisha watumishi wa umma.
Duh.. unataka wananchi wakiamuka subuhi tu wanaenda kwa mkurugenzi kumuuliza kafanya nini?

Hhheh.. Huu mfumo wako mgumu sana eloo
 
Noted
Kudos to the President and PM

Fedha nyingi za Umma zinapotelea huko kwenye Halmashauri zetu kutokana na Usimamizi mbovu wa miradi na Uongozi usiojali Wananchi ambao ndio walipa Kodi.
Muhusika mkuu hapo ni yule aliye mteua mtumbuliwa kwa mbwembwe na leo anatengua wajinga mnashangilia!
 
uzuri wa awamu hii, ukishatenguliwa tu,....BAAASSSS

Mkulu kasharidhika na wananchi wanaridhika
 
Back
Top Bottom