Recent content by John_Anthony

  1. John_Anthony

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Safi sana mkuu 🤗 hawa wanataka kuleta itikadi za umbea kwenye dini 😂 wanataka wote tuwe kama mange kimambi
  2. John_Anthony

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Ukiwa mvuta bangi ni vema kumshauri mtu ambaye havuti bangi sababu mvuta bangi anafahamu athari zake vyema,, lakini mvuta bangi hawezi kumshauri kitu mvuta bangi mwenzie,, hapa hataweza kumwambia mwenzake acha bangi atasema "tuache" bangi,, kama hadi hapa hujanielewa basi bhn 😂😂
  3. John_Anthony

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Yapo mengi makubwa kuliko hata hilo la ndoa ☺️ tena hayo mazito yanafanywa na wachungaji, maaskofu, mapadri, masheikh, manabii, na mitume ni makubwa kuliko hilo ndoa lakini hakuna anaye wakemea hao ila ni vile tu wanajitahidi kuyaficha sana,, ni makanisa mengi sana yana behind the scenes ila...
  4. John_Anthony

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Viongozi wadini ni wengi sana na wameona haya lakini hawawezi kupaza sauti zao kwa sababu nao wanayo yakwao na yanajulikana ila yamehifadhiwa tu.. Ni sahihi kuwaonya lkn nani wakuwaonya hata wewe kupost huku JF haisaidii chochote ndioo maana najaribu kukueleza hivi haya tutajadili huku na...
  5. John_Anthony

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Unacho sema ni sahihi lakini nani anapaswa kuwaonya hao 🌝 maana mvuta bangi hawezi kumwambia mwenzake aache bangi😁 hata akimwambia hawezi kumfokea vikali Asanteni ☺️
  6. John_Anthony

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Avoid pointing to someone 😐 jinyoshee kidole wewe mwenyewe,, naweza kusema hizi ni nyakati ambazo kila mtu anakosea ila tumetofautiana tu aina ya makosa(dhambi ) ila zote ni dhambi tu
  7. John_Anthony

    Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Ni vema kila mtu akajichunguza mwenyewe kwa nafasi yake,, kwa wasanii hawa tuchukue lile lililo jema kwa ajili ya kujijenga sisi wenyewe,, no one is always perfect kuna wale wanao fanya makosa lakin anafahamu kuwa nikosa ila ni vile tu msukumo umekuwa mkubwa kufanya anacho kifanya msukumo...
  8. John_Anthony

    Expert, naomba kujua ni kampuni gani Ina vyoo imara vya kuchuchumaa

    Hili swali mbn sielewi kwani vyoo vinauzwa🤔🤔 au mimi ndio sijaelewa
  9. John_Anthony

    Ni kampuni gani unanunua mwani?

    Raw materials unazo kwanini usifikirie kuanzisha kiwanda wewe mwenyewe
  10. John_Anthony

    TANZIA Mzee Isaac Mowo afariki Dunia

    😐🤔🤔
  11. John_Anthony

    Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

    Lkn hapa tulikuwa tunatetea haki ya mtoto awe na mama pamoja na baba
  12. John_Anthony

    TANZIA Mzee Isaac Mowo afariki Dunia

    R.I.P ndg yetu Mungu akulaze pema 😐
  13. John_Anthony

    Wanaume acheni kuzaa na wanawake ambao hamtawaoa

    Sasa ikitokea wewe umemuona kuwa anafaa si utapambana usababishe!! Vipi kuhusu yeye ikiwa hana mitazamo kama yako?
Back
Top Bottom