Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.
Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao.
Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
Injili ni kitu cha kweli, na wokovu ni kitu cha kweli, pamoja na uwepo wa waovu katikati yake.Hakuna cha injili,hakuna cha wokuvo wote wauza papa wauza nyapu tu
Ova
Tuwaonye zaidi (tuwachane live) kuliko kuwaombea.Tuwaombee.
Uovu wa wachache haupndoi ukweli. Kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake.Hakuna cha injili,hakuna cha wokuvo wote wauza papa wauza nyapu tu
Ova
Maneno na matendo yake ya kila siku yatakwenda sambamba na vile Yesu anataka au kuhubiriwa.Mtu aliye na Yesu anakuwa namna gani??
Sijawasahau, ipo siku yao tutawachana live hapa JF. Tunataka jamii yenye hofu ya Mungu huku misingi ya imani zetu ikibaki kuheshimiwa na kila mtu.Wachungaji umewasahau
Hata Diamond, Harmonise au Zuchu (tena akiwa na mtindo wa maisha ulio kinyume na Yesu) anaweza kuimba nyimbo za Injili na watu wakabarikiwa. Hivyo kuimba gospel na watu wakapata vibe ya gospel sio issue. Issue inakuja pale tunataka kuhusianisha injili unayoihubiri (kuimba) na maisha unayoishi, kama haviko sambamba tunapaswa kukuonya wazi wazi, maana huo ni usanii wa kidunia kwa mgongo wa injili. Hatuutaki, maana unaua thamani ya Injili kwa watu wanaomtafuta Yesu maishani mwao. Ni dhihaka.Hakika pamoja na mapungufu yao, lakini wengi wametubariki na nyimbo zao na shuhuda zipo zaidi ya maelfu kwa maelfu kuwa hawa hawa baadhi ya waimbaji injili ambao leo tunawanyooshea vidole, wakati wa majuto na kukosa tumaini nyimbo zao ziliturejeshea tabasamu na kutusogeza karibu na Muumba.
Kuna baadhi ya watu ambao walitaka hata kujidhuru na kujitoa uhai wao, lakini kupitia nyimbo za dini katika wakati mgumu wakakumbushwa kuwa yupo awezae yote na kwake hakuna kinachoshindikana basi wakaiona nuru na kupata tumaini jipya.
Hivyo waimba nyimbo za injili wot tuwaombee, tuwatie Moyo na tuwakumbushe kuwa hakuna aliye mkamilifu hata wanapokosea basi watubu na warejee katika mstari ulionyooka maana karama zao na vipaji vyao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kulitangaza neno lake. Amen
Tubarikiwe sote na tuwe na jumapili njema🙏🏿
Ni vema kila mtu akajichunguza mwenyewe kwa nafasi yake,, kwa wasanii hawa tuchukue lile lililo jema kwa ajili ya kujijenga sisi wenyewe,, no one is always perfect kuna wale wanao fanya makosa lakin anafahamu kuwa nikosa ila ni vile tu msukumo umekuwa mkubwa kufanya anacho kifanya msukumo ukipungua nguvu atarudi kundini,,
Tusiwachekee wasanii wa gospel ambao wanaimba lakini maisha yao yanamkana Yesu mazima, tuwaonye waziwazi, na ikiwezekana tuwanyime uungwaji mkono. Kuimba injili sio tiketi ya kuficha uovu au kuogopwa kuonywa. Tuwachane live!Ni vema kila mtu akajichunguza mwenyewe kwa nafasi yake,, kwa wasanii hawa tuchukue lile lililo jema kwa ajili ya kujijenga sisi wenyewe,, no one is always perfect kuna wale wanao fanya makosa lakin anafahamu kuwa nikosa ila ni vile tu msukumo umekuwa mkubwa kufanya anacho kifanya msukumo ukipungua nguvu atarudi kundini,,
Pole kwa kuchelewa kugundua. Halafu siku utayogundua na viongozi wa dini ni zaidi ya hao waimbaji utafanyaje?Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.
Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao.
Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
Hivyo kama mtu anakosea tukae kimya?Avoid pointing to someone 😐 jinyoshee kidole wewe mwenyewe,, naweza kusema hizi ni nyakati ambazo kila mtu anakosea ila tumetofautiana tu aina ya makosa(dhambi ) ila zote ni dhambi tu
Tusiwachekee wasanii wa gospel ambao wanaimba lakini maisha yao yanamkana Yesu mazima, tuwaonye waziwazi, na ikiwezekana tuwanyime uungwaji mkono. Kuimba injili sio tiketi ya kuficha uovu au kuogopwa kuonywa. Tuwachane live!
Mimi nimeamua kufunguka hapa JF ili kuwafungua na wengine. Kuhusu viongozi wa dini, hilo pia ninalifahamu, ipo siku yao nitawapiga nyundo nzito pia.Pole kwa kuchelewa kugundua. Halafu siku utayogundua na viongozi wa dini ni zaidi ya hao waimbaji utafanyaje?
Hivyo kama mtu anakosea tukae kimya?
Tunaogopa nini?
Injili gani hiyo inayoweza kufumbia macho dhambi za watu?
Yaani mtu apewe platform ya kuhubiri injili, halafu maisha yake yawe kinyume na hiyo injili, halafu tukae kimya? Kwanini?