Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

Hakika pamoja na mapungufu yao, lakini wengi wametubariki na nyimbo zao na shuhuda zipo zaidi ya maelfu kwa maelfu kuwa hawa hawa baadhi ya waimbaji injili ambao leo tunawanyooshea vidole, wakati wa majuto na kukosa tumaini nyimbo zao ziliturejeshea tabasamu na kutusogeza karibu na Muumba.

Kuna baadhi ya watu ambao walitaka hata kujidhuru na kujitoa uhai wao, lakini kupitia nyimbo za dini katika wakati mgumu wakakumbushwa kuwa yupo awezae yote na kwake hakuna kinachoshindikana basi wakaiona nuru na kupata tumaini jipya.

Hivyo waimba nyimbo za injili wot tuwaombee, tuwatie Moyo na tuwakumbushe kuwa hakuna aliye mkamilifu hata wanapokosea basi watubu na warejee katika mstari ulionyooka maana karama zao na vipaji vyao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kulitangaza neno lake. Amen

Tubarikiwe sote na tuwe na jumapili njema🙏🏿
 
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.

Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao.

Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.

Mtu aliye na Yesu anakuwa namna gani??
 
Mtu aliye na Yesu anakuwa namna gani??
Maneno na matendo yake ya kila siku yatakwenda sambamba na vile Yesu anataka au kuhubiriwa.
Kama Yesu anasema ndoa iheshimiwe na watu wote na uasherate usitajwe kamwe kwenu, basi muimbaji wa injili mwenye Yesu ndani yake itaimba hivyo na tukichunguza maisha yake tutaona hivyo.
 
Ni vema kila mtu akajichunguza mwenyewe kwa nafasi yake,, kwa wasanii hawa tuchukue lile lililo jema kwa ajili ya kujijenga sisi wenyewe,, no one is always perfect kuna wale wanao fanya makosa lakin anafahamu kuwa nikosa ila ni vile tu msukumo umekuwa mkubwa kufanya anacho kifanya msukumo ukipungua nguvu atarudi kundini,,
 
Hakika pamoja na mapungufu yao, lakini wengi wametubariki na nyimbo zao na shuhuda zipo zaidi ya maelfu kwa maelfu kuwa hawa hawa baadhi ya waimbaji injili ambao leo tunawanyooshea vidole, wakati wa majuto na kukosa tumaini nyimbo zao ziliturejeshea tabasamu na kutusogeza karibu na Muumba.

Kuna baadhi ya watu ambao walitaka hata kujidhuru na kujitoa uhai wao, lakini kupitia nyimbo za dini katika wakati mgumu wakakumbushwa kuwa yupo awezae yote na kwake hakuna kinachoshindikana basi wakaiona nuru na kupata tumaini jipya.

Hivyo waimba nyimbo za injili wot tuwaombee, tuwatie Moyo na tuwakumbushe kuwa hakuna aliye mkamilifu hata wanapokosea basi watubu na warejee katika mstari ulionyooka maana karama zao na vipaji vyao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa ajili ya kulitangaza neno lake. Amen

Tubarikiwe sote na tuwe na jumapili njema🙏🏿
Hata Diamond, Harmonise au Zuchu (tena akiwa na mtindo wa maisha ulio kinyume na Yesu) anaweza kuimba nyimbo za Injili na watu wakabarikiwa. Hivyo kuimba gospel na watu wakapata vibe ya gospel sio issue. Issue inakuja pale tunataka kuhusianisha injili unayoihubiri (kuimba) na maisha unayoishi, kama haviko sambamba tunapaswa kukuonya wazi wazi, maana huo ni usanii wa kidunia kwa mgongo wa injili. Hatuutaki, maana unaua thamani ya Injili kwa watu wanaomtafuta Yesu maishani mwao. Ni dhihaka.
 
Ni vema kila mtu akajichunguza mwenyewe kwa nafasi yake,, kwa wasanii hawa tuchukue lile lililo jema kwa ajili ya kujijenga sisi wenyewe,, no one is always perfect kuna wale wanao fanya makosa lakin anafahamu kuwa nikosa ila ni vile tu msukumo umekuwa mkubwa kufanya anacho kifanya msukumo ukipungua nguvu atarudi kundini,,

Avoid pointing to someone 😐 jinyoshee kidole wewe mwenyewe,, naweza kusema hizi ni nyakati ambazo kila mtu anakosea ila tumetofautiana tu aina ya makosa(dhambi ) ila zote ni dhambi tu
 
Tusiwachekee wasanii wa gospel ambao wanaimba lakini maisha yao yanamkana Yesu mazima, tuwaonye waziwazi, na ikiwezekana tuwanyime uungwaji mkono. Kuimba injili sio tiketi ya kuficha uovu au kuogopwa kuonywa. Tuwachane live!
 
Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote.

Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini walipopata umaarufu kiburi kikainuka na wakamwacha Yesu, lakini wapo wengine tangu mwanzo wa uimbaji wao hawakuwa na Yesu kabisa katika maisha yao.

Wote hao ni kuwa, waliona kuimba injili ni njia rahisi au bora zaidi ya kujiingizia kipato na wala sio msingi wa kutaka kueneza injili.
Pole kwa kuchelewa kugundua. Halafu siku utayogundua na viongozi wa dini ni zaidi ya hao waimbaji utafanyaje?
 
Avoid pointing to someone 😐 jinyoshee kidole wewe mwenyewe,, naweza kusema hizi ni nyakati ambazo kila mtu anakosea ila tumetofautiana tu aina ya makosa(dhambi ) ila zote ni dhambi tu
Hivyo kama mtu anakosea tukae kimya?
Tunaogopa nini?
Injili gani hiyo inayoweza kufumbia macho dhambi za watu?
Yaani mtu apewe platform ya kuhubiri injili, halafu maisha yake yawe kinyume na hiyo injili, halafu tukae kimya? Kwanini?
 
Tusiwachekee wasanii wa gospel ambao wanaimba lakini maisha yao yanamkana Yesu mazima, tuwaonye waziwazi, na ikiwezekana tuwanyime uungwaji mkono. Kuimba injili sio tiketi ya kuficha uovu au kuogopwa kuonywa. Tuwachane live!

Unacho sema ni sahihi lakini nani anapaswa kuwaonya hao 🌝 maana mvuta bangi hawezi kumwambia mwenzake aache bangi😁 hata akimwambia hawezi kumfokea vikali

Asanteni ☺️
 
Pole kwa kuchelewa kugundua. Halafu siku utayogundua na viongozi wa dini ni zaidi ya hao waimbaji utafanyaje?
Mimi nimeamua kufunguka hapa JF ili kuwafungua na wengine. Kuhusu viongozi wa dini, hilo pia ninalifahamu, ipo siku yao nitawapiga nyundo nzito pia.
 
Hivyo kama mtu anakosea tukae kimya?
Tunaogopa nini?
Injili gani hiyo inayoweza kufumbia macho dhambi za watu?
Yaani mtu apewe platform ya kuhubiri injili, halafu maisha yake yawe kinyume na hiyo injili, halafu tukae kimya? Kwanini?

Viongozi wadini ni wengi sana na wameona haya lakini hawawezi kupaza sauti zao kwa sababu nao wanayo yakwao na yanajulikana ila yamehifadhiwa tu..
Ni sahihi kuwaonya lkn nani wakuwaonya hata wewe kupost huku JF haisaidii chochote ndioo maana najaribu kukueleza hivi haya tutajadili huku na yataishia huku huku
 
Do as I Say.., not as I Do..., Mantra kama hio ndio ninayoitumia hapa Jukwaani na kwenye Maisha yangu naangalia Nguvu ya Hoja na sio Mtoa Hoja...

Kutangaza Injili ni lazima ufanye kwa matendo ? - Kama wanatangaza kwa ujumbe na Ujumbe kwenye ule wimbo unakwenda mainstream huoni kwamba wanakidhi the objective kuliko hata yule anayekesha na kusali lakini hana medium ya kufikisha ujumbe ?(hata kama wanafanya wapate pesa - the end justifies the means)
 
Back
Top Bottom