ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,979
- 3,919
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea haya mambo basi Nije kuuliza, hivyo naomba msaada wa kujua ni kampuni gani inavyoo vizuri na imara,
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea haya mambo basi Nije kuuliza, hivyo naomba msaada wa kujua ni kampuni gani inavyoo vizuri na imara,