Recent content by Jimmy copper

  1. Jimmy copper

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Yaani nilitaka nitafute fundi AC aisee, maana me kwa kawaida nikiwasha AC kwa masaa 4 tu unit 5 mpaka 7 zinakatika
  2. Jimmy copper

    Mke wa pili anahitajika

    Mambo yasiwe mengi, kuna cousin brother wangu anahitaji kuongeza mke wa pili. Vigezo: Awe mrembo wa sura na umbo pia Elimu kidogo angalau form six au certifcate Umri miaka kuanzia 25 mpaka 32 Dini Islam kama ni tofauti awe tayari kubadili. Kuhusu yeye; Ni mfanyakazi wa Serikali na...
  3. Jimmy copper

    Ummy Mwalimu unatumia ukaribu wako na Othman kuwaangamiza wenzako

    Wewe sasa ndiyo mdini 100%, watu wanateuliwa kama wamekidhi vigezo husika na si vinginevyo. Ungekuwa na hoja kama ungesema mama Samia kateua huyu au yule lakini si mtanzania, au unaleta ushahidi hapa, ungeeleweka. Wewe una shida ya Islamophobia, deal nalo hilo kwanza, siku utakapo kuja...
  4. Jimmy copper

    Malegendi mnadili vipi na wanawake wanaowapa taarifa wapo siku zao baada ya kula ofa zenu

    Hakika, yaani suonagi tija ya kulazimisha....! Ikishindikana kwenye kushawish unaachana nae aende zake! Wengine hawapendi kabisa purukushani au sjui vua nihakikishe!
  5. Jimmy copper

    Simba SC wanaenda kuharibu

    Mgunda ni kocha mzuri sana kwa team avarage za ligi yetu lkn siyo Simba. Huwaga team ikizidiwa anakosa mbinu sahihi za haraka kuinusuru team. Mgunda anabebwa na ubora na uzoefu wa wachezaji, tunataka kocha ambae yuko dynamic kwenye mbinu na siyo mwenye mbinu 1 au 2 zikifeli basi.
  6. Jimmy copper

    Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

    Kushauvurugwa huyo muelewe tu ...
  7. Jimmy copper

    Za ndani kabisa: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Simba SC haelewani na Afisa Mtendaji Mkuu wake

    Kwamba MO amteue try again kwenye nafasi yake (mwenyekiti wa bodi) kisha awe na ugomvi na CEO as you claimed, ashindwe kumtengua na kumuweka mwingine ili " kumlinda" CEO? Uwe unatengeneza logic before ya kueneza uongo. We ain't buying this clap!
  8. Jimmy copper

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Hizi mambo wakati mwingine ni saikolojia tu, kiasili sisi waafrika tunaamini uchawi kuliko sayansi au fact. Ukweli kuna watu wamejaaliwa kipaji cha mapishi . Unaweza kuta hata huyo mama anaepika vzr na anapika vizuri kweli, hajiamini mpk aweke manjonjo ya kwenda kwa "mtaalamu". Nachojua wapishi...
  9. Jimmy copper

    Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Kaka mkubwa, naelewa hisia zako na naturally inafaa iwe hivyo, ila amini kitu kimoja siku utakuja gundua kwamba uliishi katika denial ya kumuamini mkeo kwa asilimia zote hizo hiyo disappointment utakayopata kama siyo jasiri unaweza pata msongo wa mawazo au maradhi yasiyoambikiza na pengine kufa...
  10. Jimmy copper

    Simba mara hii wameonesha wivu wa wazi wazi kwa Yanga

    Yaani uliposema Yanga ndiyo team bora Africa mashariki na kati alafu hukutoa references ku support hoja yako ndipo nikaona mwaka huu mashabiki wa Yanga mtapata wazimu.
  11. Jimmy copper

    Naomba ushauri kwa alichofanya mke wangu

    Mkuu hakunaga formula ya kuishi na mwanamke na wala hakuna criteria ya mwanamke bora. Mwanamke bikra ni mzr kwako psychologically sababu unaamini wewe ndy wa kwanza kulala nae, hii ni kweli lkn kwa kipindi kifupi tu, mara nyingi wanawake wa hv wewe ndy huanza kumfundisha kila kitu, ila siku...
  12. Jimmy copper

    Naomba ushauri kwa alichofanya mke wangu

    Pole mkuu, inaweza kuwa ni tatizo na inaweza kuwa si tatizo vilevile, hii inategemea na wewe unaishi nae vipi I mean how you're treating her. Kuhusu kuangalia kwa Google ma X zake, take easy mkuu, sisi binaadamu huwaga kuna vitu vingi sana vya ajabu tunafanya tukiwaga tupo wenyewe, wakati...
  13. Jimmy copper

    Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

    Ndiyo maana nakwambia bado hujakuwa wewe na inajidhihirisha kwa maandishi yako, anyway kwa kukusaidia huko mbeleni kama umeoa au bado ni hivi, familia upande wa mkeo wanaweza changia dumisha au haribu ndoa, kivipi? Twende namna hii, chukulia umeoa mwanamke lakini inatokea mmekorofishana...
  14. Jimmy copper

    Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

    Hujakuwa bado, ukikuwa hilo la familia utalielewa vzr sana, ni muhimu sana inawezekana kuliko vingine, sababu ndicho kitakacho determine uhai wa ndoa yenu.
  15. Jimmy copper

    Simba S.C. kwenda Angola siku moja kabla ya mechi ni takwa la kiufundi au bajeti imekata?

    Alafu wengi si sijui wanaishi kwa mazoea? Team za Ulaya huwa zinaenda a day before mechi katika Uefa Champions league hakuna muda wa kwenda ugenini kukaa siku 5 sjui. Walishawahi kuja Pyramids na ndege yao hapa siku moja kabla na Wakaikun'guta Yanga kule Mwanza vzr tu! Pia Al Alhy hvy hvy.
Back
Top Bottom