Kimpira azam walimfunga yanga japo kimatokeo walidraw, kama una akili za kutosha hutabisha katika hiliKikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii
Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga
Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!
Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?
Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?
Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.
Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote
Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwani hao Simba Queen Fc unaowalinganisha na Simba SC si Simba pia!!!???? Utopwa kuna namna hamko sawa vichwani.Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii
Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga
Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!
Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?
Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?
Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.
Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote
Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hivi kupokea watu Airport ni kosa? Au ni mara ya kwanza kufanyika? Mbona mnaifanya ionekane kama kitu cha ajabu sana?Muosha huoshwa, nyie si ndio mlikuwa mnapokea watu airport?
Kwani hao Simba Queen Fc unaowalinganisha na Simba SC si Simba pia!!!???? Utopwa kuna namna hamko sawa vichwani.
Kimpira Msimu uliopita Simba alitoa sare na Geita pale Kwa Mkapa Kwa goli la kichwa la George mpole lililo kataliwa na refa bila Sababu, kimpira Azam walinyimwa ushindi na Penalty baada us Kibu kuudaka mpira ndani ya 18 ya Simba Kwa kuogopa kupigwa kanzu.Kimpira azam walimfunga yanga japo kimatokeo walidraw, kama una akili za kutosha hutabisha katika hili
Kimpira yanga alidraw na geita gold lakin kimatokeo yanga alishinda, kama una akili za kutosha hutabisha katika hili
Kwa mifano hiyo miwili, kaa, tulia jifikirie ni kwanini jicho la kimpira linatofutiana na matokeo yaliyopatikana?
Hapo ndipo utagundua kuwa ushindi au sare za yanga ndani yake kuna walakini wa kimpira na hapo mtaendelea kuumia linapokuja suala la michuano ambayo walakini wenu huo haufui dfu
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii
Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga
Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!
Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?
Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?
Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.
Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote
Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Umekula mihogo lakini?Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliopita kimewatesa sana wana simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii
Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa simba dhiri ya timu ya Yanga
Mifano ipo hai hata humu humu jf jukwaa la michezo someni hizo topics utaona nyingi ni simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya yanga!
Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu simba walicheka na kushangilia sana...unajiuliza shida iko wapi?
Yanga anacheza kimataifa..anawakilisha taifa pia
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa,tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu...
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa afrika mashariki(na hili halina ubishi)
Kwanini somba wasikubali hayo?chuki za nini?hata akitolewa yanga huko Tunisia nini cha ajabu?barcelona huyoo anaenda europa kuna ajabu gani sasa?
Simba acheni chuki
Bado mnabebwa kwa kila namna,eti mnawewa msicheze hadi jumatano siku ambayo yanga anaingia dimbani.
Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote
Acheni hizo chezeni mpira mnashindwa hata na wale simba queens.ambao unawaona wanafight kutafuta matokeo
,
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Aliye wasaidia Simba Kwa 50% kuchukua ubingwa ni Makonda, Kitendo Cha Simba kumhujumu Manji kupitia Makonda kuli idhohofisha sana Yanga nikama walikua wakipigana na bondia aliyefungwa mikono.
Kwasasa Yanga na Simba zote Zina Matajiri na mzani ukiwa hivi, Simba hawezi kubeba kikombe chochote Cha mashindano kinacho andaliwa na Tff. Hii Hali itaishi Kwa miaka mingi ijayo.
Kilicho Baki ni malalamiko tu,hawana pa kujificha na Kadri siku zinavyo kwenda Yanga wanazidi kuimarisha timu na sehemu za ufundi.
Mbumbumbu fc watapata tabu sana.

Mwiko unakuja huko tunisiaAliye wasaidia Simba Kwa 50% kuchukua ubingwa ni Makonda, Kitendo Cha Simba kumhujumu Manji kupitia Makonda kuli idhohofisha sana Yanga nikama walikua wakipigana na bondia aliyefungwa mikono.
Kwasasa Yanga na Simba zote Zina Matajiri na mzani ukiwa hivi, Simba hawezi kubeba kikombe chochote Cha mashindano kinacho andaliwa na Tff. Hii Hali itaishi Kwa miaka mingi ijayo.
Kilicho Baki ni malalamiko tu,hawana pa kujificha na Kadri siku zinavyo kwenda Yanga wanazidi kuimarisha timu na sehemu za ufundi.
Mbumbumbu fc watapata tabu sana.
Na namna Simba anavyoshindwa kumfunga yanga anajua nani!?Namna YANGA SC anavyoshinda mechi za ligi anaijua GSM na namna mnavyoshindwa kimataifa sheria 17 za mpira wa miguu ndizo zinazoamua
sasa ntoa uzi analalamika nini?Hivi kupokea watu Airport ni kosa? Au ni mara ya kwanza kufanyika? Mbona mnaifanya ionekane kama kitu cha ajabu sana?
Hili swala mbona lipo karibu Dunia nzima hasa kwa timu pinzani.
Misimu mi 2 nyuma mamelod alipokelewa Egypt pale na Zamalek.