Crimea Bridge
Member
- Oct 8, 2022
- 51
- 152
- Thread starter
- #21
labda anahisi huko nje kuna ex atampenda zaidi yangu.. na hao watoto wa 3 majamaa yatapiga na kusepa.. sijui wanawake wanatakaga nini yaani..
Hataree,watu wanafyatuaWatoto watatu umewapata ndani ya miaka sita.
Tuonee tu huruma mkuu, na hatukomiIla NDOA NGUMU beeeh ..!!!
Hivi huwa mnaoa sijui ili iweje..???!!!
Haya bana MI HAYANIHUSU.
#YNWA
Na yeye lengo lake ni kugongwa tu. Sidhani kama anaamini hao ma-ex wanampenda akaolewe nao.labda anahisi huko nje kuna ex atampenda zaidi yangu.. na hao watoto wa 3 majamaa yatapiga na kusepa.. sijui wanawake wanatakaga nini yaani..
Mimi nitakuwa dokta wako kwa leo. Kumbe hao anaowatafuta unajuwa kuwa aliwahi kuwa na mahusiano nao.Hilo ni tatizo maarufu kwa mwanamke aliyewahi kuwa katika mahusiano kabla yako.Ndio maana mtume wetu Muhammad rehema na amani zimshukie akatuhimiza tuoe wanawake wenye dini na bikra kwanza na wawe wazuri tuliowachagua.Kikawaida binadamu sote wake kwa waume kila mmoja ana upungufu wake.Hao wanawake bikra kutokana na umuhimu wao wamewekewa mihuri ya siri.Ukimpata huyo na mwenye dini basi atakuvumilia kwa mapungufu yako na wewe pia utamvumilia kwa mapungufu yake.Ukiacha hao bikra basi owa mwanamke aliyefiwa na mumewe yaani mjane.Na sio aliyemkimbia mumewe.Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa mwaka wa sita sasa na tuna watoto watatu. Nilikuwa napitia simu yake katika 'search history' ya Google nikashangaa sana kuona kama wiki mbili sasa anatafuta majina ya X zake tofauti tofauti.
Kwa kuwa ni mtu namfahamu muda mrefu na tulisoma wote, hao watu aliyokuwa akiwatafuta wengi wao ninawafahamu na walishakuwa kwenye mahusiano huko nyuma. Sasa nimeshangaa kuona kwanini anawatafuta ma X wake wa huko nyuma.
Je, kuna tukio anataka anipige nalo au ni nini? Naomba ushauri jamani.
Mimi nitakuwa dokta wako kwa leo. Kumbe hao anaowatafuta unajuwa kuwa aliwahi kuwa na mahusiano nao.Hilo ni tatizo maarufu kwa mwanamke aliyewahi kuwa katika mahusiano kabla yako.Ndio maana mtume wetu Muhammad rehema na amani zimshukie akatuhimiza tuoe wanawake wenye dini na bikra kwanza na wawe wazuri tuliowachagua.Kikawaida binadamu sote wake kwa waume kila mmoja ana upungufu wake.Hao wanawake bikra kutokana na umuhimu wao wamewekewa mihuri ya siri.Ukimpata huyo na mwenye dini basi atakuvumilia kwa mapungufu yako na wewe pia utamvumilia kwa mapungufu yake.Ukiacha hao bikra basi owa mwanamke aliyefiwa na mumewe yaani mjane.Na sio aliyemkimbia mumewe.
Hawa wanawake wa kuwa kwenye mahusiano halafu kwa sababu ndogo tu anakuja kwako hawaaminiki.
Pole mkuu, inaweza kuwa ni tatizo na inaweza kuwa si tatizo vilevile, hii inategemea na wewe unaishi nae vipi I mean how you're treating her.
Kuhusu kuangalia kwa Google ma X zake, take easy mkuu, sisi binaadamu huwaga kuna vitu vingi sana vya ajabu tunafanya tukiwaga tupo wenyewe, wakati mwingine anataka kujua tu what hao ma X zake they are up to kwasasa. Anataka kujua wana maisha gani, wameoa au la, wana watoto etc.
Be a gentleman, acha kupekua mara kwa mara simu ya mwanamke, mueleze kama hujapenda alichokifanya na madhara yake kisha endelea na mishe zingine huku unasoma movements zake kiaina.
Ndugu usijisifu sana usikute hata hao watatu SI wako.labda anahisi huko nje kuna ex atampenda zaidi yangu.. na hao watoto wa 3 majamaa yatapiga na kusepa.. sijui wanawake wanatakaga nini yaani..
Mkuu hakunaga formula ya kuishi na mwanamke na wala hakuna criteria ya mwanamke bora.Mimi nitakuwa dokta wako kwa leo. Kumbe hao anaowatafuta unajuwa kuwa aliwahi kuwa na mahusiano nao.Hilo ni tatizo maarufu kwa mwanamke aliyewahi kuwa katika mahusiano kabla yako.Ndio maana mtume wetu Muhammad rehema na amani zimshukie akatuhimiza tuoe wanawake wenye dini na bikra kwanza na wawe wazuri tuliowachagua.Kikawaida binadamu sote wake kwa waume kila mmoja ana upungufu wake.Hao wanawake bikra kutokana na umuhimu wao wamewekewa mihuri ya siri.Ukimpata huyo na mwenye dini basi atakuvumilia kwa mapungufu yako na wewe pia utamvumilia kwa mapungufu yake.Ukiacha hao bikra basi owa mwanamke aliyefiwa na mumewe yaani mjane.Na sio aliyemkimbia mumewe.
Hawa wanawake wa kuwa kwenye mahusiano halafu kwa sababu ndogo tu anakuja kwako hawaaminiki.
kwa sababu dozi ya mwanzo imefanya kazi vizuri ngoja nikupe dawa ya mwisho ya kumaliza tatizo lako. Naungana na mwenzangu hapo juu aliyekutaka uwache kufuatilia simu za mkeo.Kufanya hivyo unakaribisha shaka nyingi ambazo iblisi huwa anazifanyia kazi. Iwapo kweli umemuoa na sio kwamba unaishi naye basi usifikirie kumwacha na wala uizipe kipaumbele shaka zake.Hata siku ukiona jina la mwanamme mwengine wewe muulize tu kwa ustaarabu huyu wa nini hapa na wewe ni mke wa watu. Mwanamke anaweza akajidai sana kutaja watu nje ya ndoa kuwa atakwenda kwao hata leo ukimwacha.Hizo ni hasira za kike zipuuze.Muhimu chunga sana asije akamleta huyo anayemtaja kwako iwe ni kwa maneno tu.Asante sana mkuu.. nilijua madhaifu yake huko nyuma na kukubali kumuoa na kiukweli hakuwa bikra wakati nakutana naye. Ila nilimpenda sana lakini sasa ndio naona mapungufu ya kuoa mwanamke ambae alishawahi kuwa kwenye mahusiano.. muda mwingine anakaa anawamiss watu wake wa zamani. Hii ni hatari sana kwenye ndoa, ukizingatia anaweza akaharibu ndoa yake kwa tamaa tu ya kutaka kummiss ex wake..