Recent content by Felix Mwakyembe

  1. Felix Mwakyembe

    Uchumi wa Bluu ni dhana pana

    Rais wa Zanzibar, Hussein Ali Hassan Mwinyi alipoibeba ajenda ya uchumi wa buluu kwenye kampeni zake za mwaka 2020 kule visiwani na baada ya kukaa madarakani, wengi hatukumelewa. Tukimshangaa kuona kakomalia shughuli moja tu, nayo ni uvuvi na kidogo kilimo cha mwani Dhana ya Uchumi wa Buluu...
  2. Felix Mwakyembe

    Upotevu wa maji ni janga, lidhibitiwe

    Gharama ya upotevu wa maji (Non-Revenue Water- NRW) kwa mwezi mmoja jijini Mbeya inatosha kujenga mradi wa maji wa kijiji nchini. Mathalani, Mradi wa Maji wa Mwashaali unatumia shilingi milioni 400 na utanufaisha wakazi 6,000 wa maeneo ya Isyesye Mlimani na Block D jijini humo. Gharama za...
  3. Felix Mwakyembe

    Udanganyifu katika mitihani una historia yake

    Udanganyifu kwenye mitihani una historia yake Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya...
  4. Felix Mwakyembe

    Kesho ya Nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Pili)

    Soma Sehemu ya Kwanza hapa: Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza) Nini kifanyike: Umeme wa upepo ni moja kati ya vyanzo anuwai vya nishati mbadala vilivyopo, na ambavyo havijatumika kutatua tatizo la umeme nchini. Wakati mahitaji yakiogezeka maradufu, ni Dhahiri kwamba...
  5. Felix Mwakyembe

    Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza)

    Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini Miongoni mwa ajenda kuu kwenye Mkutano wa 28 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 28) pale Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ilikuwa nishati safi. Mkutano wa mwaka huu ulioanza Novemba 30, ulihitimishwa siku ya Jumanne...
Back
Top Bottom