Recent content by Detective Jeff

  1. Detective Jeff

    Waliochaguliwa chuo kikuu cha sayansi na teknology (must)

    Nimeona jina langu nimechaguliwa Civil engineering lakin mm kwenye kuchagua nilichagua computer engineering.. Vip inarekebishwaje hapo?
  2. Detective Jeff

    Habari njema kutoka tcu for undrgradurate 2015/2016

    kaka hata mm nimepata tatizo hilo hilo sasa sijui hiyo ishu inaishaje................. mwenye uelewa na hii kitu tunaomba mtusaidie
  3. Detective Jeff

    Wakaka jipangeni kwa wapenzi wenu kuepuka kugongewa

    somehow uliyoyasema ni kweli... but asilimia kubwa hata uhonge nyumba bado atachepuka tuu. hiyo ndio tabia ya ckuiz.... cha msingi tafuta anayeendana na ww kiuchumi... kimawazo...
  4. Detective Jeff

    Sweet Revenge: Ingawa ulikuwa ni ujinga, ila sijutii

    kidumu chama cha masela. big up kwako mkuu....
  5. Detective Jeff

    Ndege mbili za Airbus 320 alizoahidi JK kwa ajili ya ATC

    hizo zinaitwa ahadi za kukurupuka
  6. Detective Jeff

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    hapo wachezaji wawili ... kibajaji.. na nape... itabidi wasugue benchi coz wanaweza sababisha team ikafungwa bao dk ya 90
  7. Detective Jeff

    Lowassa’s U-turn on Katiba process

    lowassa did a good thing. U-turn for the people real constution.
  8. Detective Jeff

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    ale vitunguu swaumu punje 8 hadi 9 kwa siku mara 2..anywe na maji mengi
  9. Detective Jeff

    Tumchague Magufuli na Wabunge wengi toka UKAWA

    uko right somehow... serikali iwe balanced kotekote
  10. Detective Jeff

    Kwa Mwendo Huu Polisi Wajiandae Kuwakabili Wana-UKAWA baada ya Octoba 25

    hiv ni chama gani kile kinacho tumia vyombo vya dola kwa manufaa yao?
  11. Detective Jeff

    Bongo Star Search ni janga la kitaifa

    nasema tena sio lazima wote tuimbe......
  12. Detective Jeff

    Slow Love Songs Fans

    hizi nyimbo huwa zinanikumbusha mbali sana
Back
Top Bottom