Waliochaguliwa chuo kikuu cha sayansi na teknology (must)

GARABAWA

New Member
Jan 14, 2014
1
0
wajulishe na wenzako juu ya hili............ Mwambie jirani yako kama aliomba must.
 

Attachments

  • advert bachelor.pdf
    655 KB · Views: 824
Nimeona jina langu nimechaguliwa Civil engineering lakin mm kwenye kuchagua nilichagua computer engineering..

Vip inarekebishwaje hapo?
 
Mimi nimechaguliwa civil eng must vipi msuli wake je inalipa?
 
Usome sasa kuna watoto wa mama salma kila semester wanaletwa na macoster ma5 take care
nashukuru mkuu maneno yako ya hekima hakika ni lulu kwa sisi vijana tuanaolekea huko. naomba na wengine wapitie huu uzi ili waelimike na wajipange.
 
Back
Top Bottom