North Korea threatens to ‘invade US’ unless S Korean military exercises aren’t halted

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
55d046bfc3618821228b45c6.jpg

North Korea has issued new nuclear threats to the US saying it will respond accordingly if Washington does not cancel military exercises with South Korea. Pyongyang says it is ready to use its latest weapons, which are "unknown to the world."

The drills are due to take place Monday and have become an annual event for the US, South Korea and other allies, a fact that has often irked North Korea. The exercises, called Ulchi Freedom Guardian, are aimed to "protect the region and maintain stability on the Korean peninsula," a statement from the Korea-US Combined Forces Command stated, as cited by CNN.

As has been the case in the past, Pyongyang has shown its displeasure, but the rhetoric coming out of the secretive nation has been stronger than in previous years.

"The army and people of the Democratic People's Republic of Korea (DPRK) are no longer what they used to be in the past when they had to counter the US nukes with rifles," a spokesman for North Korea's National Defense Commission (NDC) said.

The spokesman added that "North Korea… is the invincible power equipped with both [the] latest offensive and defensive means unknown to the world."

"The further Ulchi Freedom Guardian joint military exercises are intensified, the strongest military counteraction the [Democratic People's Republic of Korea] will take to cope with them," he added.

State television in North Korea has been trying to present a message to the people that the country's military is in a better position now to counter the perceived threat that is posed by the US and its allies. Media reports from Pyongyang even claimed that North Korea was ready to attack Washington on US soil.

"If [the] United States wants their mainland to be safe," said a newswoman for the state TV station, KCNA, "then the Ulchi Freedom Guardian should stop immediately."

North Korea has also threatened to launch "indiscriminate" military attacks against South Korea, unless Seoul stops launching propaganda broadcasts across the border. South Korea started to resume sending loud radio propaganda messages for the first time in over a decade after a landmine attack severely injured two South Korean soldiers. Seoul has blamed North Korea for the attacks.

However, Pyongyang vehemently denied the accusations that it was responsible for the mine incident, calling them "absurd," and its frontline army border command on Saturday demanded the broadcasts be halted immediately or risk "an all-out military action of justice to blow up all means for ‘anti-North psychological warfare' in all areas along the front," AFP reported.

The action will involve "indiscriminate strikes which envisage even possible challenge and escalating counter action," the command said in a statement carried by the North's official KCNA news agency.

Source: RT
 
NK wanapiga kelele tu.
Hawana uwezo wa kusustain war hata kwa mwezi mmoja na US.
 
hako katoto kanataka nchi yake ipitozwe kwenye ramani.Like Atomic la mwaka 1945 limeboreshwa mara 100000
 
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha!

Hivi kuna jipya hapo zaidi ya kelele zilezile za siku zote?

Hawana lolote hao teh teh teh.

Ila najua kuna jinga moja humu linawaamini kweli hao wehu wa NK.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Hahaha...USA being, hakuna namna nyingine wapigwe tu, maana tumechoka sasa.
 
Naamimi kuwa NK hawana uwezo wa kusustain vita na US! Ila naamin pia kwamba wana kombora lenye uwezo wa kufika US.
US hajawah kupigwa kwa kombora lolote kutoka nje ya nchi yao na huyu dogo alivyokuwa mwehu huenda akaandika historia!!

Let's wait and see!!!
 
NK zaidi ya propaganda hawana lolote.

Mimi naamini hawana hilo kombora la kuweza kufika mainland USA.

Na hata kama wanalo sidhani kabisa kama linaweza kusafiri masafa yote hayo kabla halijatunguliwa na USA.

Ila naamini NK hawana uwezo huo na hilo kombora hawana.

Propaganda zao ni kelele za chura tu.
 
siwezi kuwabeza north korea...huu uwezo wa kuwa na heavy weapon kama hiyo wanao...ila sasa hawawezi kufanya wanachosema kwa sababu uwezo wa kumudu vita na USA hawana...wataishia kulipua kombola lao halafu vita ianze wapigwe...
 
Naamimi kuwa NK hawana uwezo wa kusustain vita na US! Ila naamin pia kwamba wana kombora lenye uwezo wa kufika US.
US hajawah kupigwa kwa kombora lolote kutoka nje ya nchi yao na huyu dogo alivyokuwa mwehu huenda akaandika historia!!

Let's wait and see!!!

Hahahaha acha kuchekesha ujui kuna makombora ya kutungua makombora,hawawez kaulizie Japan alichofanywa 1945
 
Hawa north Korea hawana hata uwezo Wa kusimama kivita na south Korea achilia mbali USA,

Marekani ina misile defence system hapo jirani nao inaitwa THAAD. (Terminal high attitude areal defence ). Hadi sasa THAAD ndio the best areal defence system, hawa north Korea na urusi wanafanana kwa propaganda, ambapo urusi inakuja na madai mapya daily kwamba wana silaha flan kushinda za marekani kumbe uongo ni propaganda za Chanel ya Russia today

Uongo Wa north Korea umeshazoeleka
 
hawa NK wana make headlines :mvutaji:Tu. Wathubutu tujue kama wao ni vidume vya mbegu.Dadeki.. Upigane na Marekani unakichaa.
Russia yenyewe haitamani kusikia hiyo vita.
 
NK wanapiga kelele tu.
Hawana uwezo wa kusustain war hata kwa mwezi mmoja na US.

Je wewe unawajua Wakorea kaskazini? Kuamini sana kuwa taifa fulani liko juu kiteknolojia yaweza kuwa sio kweli maana wanaojua ukweli ni walengwa!! Story za kijiweni hazina maana!!
 
hawa NK wana make headlines :mvutaji:Tu. Wathubutu tujue kama wao ni vidume vya mbegu.Dadeki.. Upigane na Marekani unakichaa.
Russia yenyewe haitamani kusikia hiyo vita.

NK wana confidence ILA hiyo sio kitu ukienda battle field
strategy na tactics ndo mafanikio katika field
 
NK wana confidence ILA hiyo sio kitu ukienda battle field
strategy na tactics ndo mafanikio katika field
NK soldiers hawana hiyo Kitu unaita confidence per se, cause ukifikiri rationally kupigana na usa sio jambo la kitoto. Ni jambo la kufikiri tena na tena cause it is easy to be a loser. hata viongozi wa juu wa iran walimshutumu Ahmednejan alipohatarisha Iran kuvamiwa na usa kutokana na kauli zake kisiasa.

kule North Korea kuna some degree of patriotism entangled inside dictatorship regime.
Na Wana fanya hivyo kuiogopesha Seol. Manake wameshamtishia kua atakua primary target ikiwa watapigana na usa.

Tukiacha hilo pembeni, I respect tactic na strategy but kwenye hii vita, Uwezo wa silaha ndio kila kitu, Cause NK wameahidi watatumia nuclear moja kwa moja. i don't think kama USA hawatatumia.

kuna mambo mengine ya kuangalia:
kama Play ground itakua zaidi upande wa North korea soil zaidi kuliko USa Soil,
UsA is great in all categories:

economically stronger, large army size , 20 years combat experience, Best weapons in the world, .

USa wako more sophisticated wanatumia GPS systems, stealth technology, latest sensor.
Silaha nyingi za NK ni manual na outdated, least experience, etc.
 
NK zaidi ya propaganda hawana lolote.

Mimi naamini hawana hilo kombora la kuweza kufika mainland USA.

Na hata kama wanalo sidhani kabisa kama linaweza kusafiri masafa yote hayo kabla halijatunguliwa na USA.

Ila naamini NK hawana uwezo huo na hilo kombora hawana.

Propaganda zao ni kelele za chura tu.

Wewe ni mmarekani?naona unapenda ushabiki bila hoja;km c.i.a wamesema nk anao huo uwezo wewe unawezaje kupinga?
 
hawa NK wana make headlines :mvutaji:Tu. Wathubutu tujue kama wao ni vidume vya mbegu.Dadeki.. Upigane na Marekani unakichaa.
Russia yenyewe haitamani kusikia hiyo vita.

Braza, hao jamaa hawana jipya.

Kila baada ya muda fulani lazima wachimbe biti lakini ni mwendelezo uleule wa propaganda na vitisho vilivyo vitupu.

Kwanza mimi huwa nawachukulia poa tu. Pia huwa wananichekesha sana na hiyo mikwara yao.
 
Back
Top Bottom