Recent content by DANFORD PIUS HAMISI

  1. D

    Anusurika kifo baada ya kutoa ushuzi uliozaniwa ni bomu

    na danford raia mmoja nchini pakistan amenusurika kifo baada ya kutoa ushuzi wenye sauti kubwa uliodhaniwa ni bomu.taarifa kutoka kwa mtu huyo aliyenusurika kifo amesema kuwa alivyoona amebanwa sana na majambazi waliotaka kumua kwa mapanga aliamua kujamba.majambazi hao ambao anasema walikuwa...
  2. D

    Balaa tupu! Diamond, Ally Kiba wakutana ukumbini, wachuniana!

    By danford Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wakiwa kwenye mkutano. Duh! Kama ulikuwa unaamini kuwa lile bifu la wakali wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond Platnumz? na Ali Saleh Kiba, limekwisha, basi umenoa baada ya jamaa hao kukutana ukumbini na kuchuniana. Ishu hiyo ilijiri kwenye...
  3. D

    Wasanii hawa sasahivi yanawabeba majina tu

    Wasanii Hawa Yamebaki Majina tu, Hakuna wanachofanya kweny Game Sasahivi..! JUMA NATURE. Q- CHILLAH. BWANA MISOSI. PROF.J. DULLY ( MR MISIFA). DUDUBAYA. MR NICE. MR BLUE. T.I.D. -Hebu taja wengne ambao unaona hakuna wanachofnya kweny Bongofleva prof j na mr blue wapo hai wewe
  4. D

    Shilole kiuno tisha sana! Atua ubelgiji kwa kishindo! Tazama pichaz hapa

    Sio mchoyo tatizo ngoja apewe hiv na mapedeshee na wewe nuh mziwanda mchunge mkeo
  5. D

    Diamond Chibu Dangote ndani ya jumba la Big Brother Afrika

    Acheni upumbavu nyie ali kiba ni mashine sio tu mnaongea utumbo
  6. D

    humu ndani kuna pesa zangu

    By danford kuna jamaa mmoja kila siku anapita na gari yaje bank usiku then anapiga honi mlinzi akitoka jamaa anaondoka baada ya kupita muda yule mlinzi akakasirika maana jamaa anamsumbua.. siku moja akamuwekea mtego mpaka akamkamata. mlinzi: kwa nini kila siku unapita hapa unanipigia honi...
  7. D

    Anusurika kifo baada ya kutoa ushuzi uliozaniwa ni bomu

    Kwa tanzania ni baraka hamisi ndio mjambaji na frenk madiwa
  8. D

    Amri saba kwa wapendao ofa

    Muheshimu anayekununulia Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofa.Mtoa ofa akikutuma popote usikatae Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa[ Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogo Mtoa ofa akitoa...
  9. D

    Wapeni taarifa hawa Wachagga toka wameondoka hatujawaona

    Jamani danford nataka niwatume Ulaya na Marekani mara muende mkawatafute hawa wachagga warudi Kilimanjaro tangu wameondoka hawataki kurudi kwao Kilimanjaro na Krismas ndiyo imekaribia waje kuhesabiwa majina yao haya hapa >R KELLY MUSHI >BEYONCE MINJA >JAY Z KILEO >RONALDO MOSHA >LADY GAGA...
  10. D

    Wataalamu wa Windows OS Naomba Mnielimishe!

    kwa jina natwa danforHeri ya Mwaka Mpya wataalamu na wadau wote wa jukwaa hili. Nimesoma kwa masikitiko makubwa kwamba Microsoft watasimamisha support ya Windows xp mwezi wa nne mwaka huu. Hizi habari kwangu ni pigo kubwa kwa sababu mimi ni mpenzi mkubwa wa windows xp. Nimetokea kuipenda sana...
  11. D

    Nahitaji laptop kwa ajili ya kuanza kujifunza programming language

    ukitaka kuwa hacker computer yeyote inakufaa ila angalia yenye uwezo zaidi kama hii unaweza kuchukua computer ya dell au hp zenye uwezo huu ,?processor pentium d au r yenye kuanzia 2.8 ghz kwenda juu/ram chukua kuanzia 1gb na angalau iweze kubeba window 7 ok na mengneyo kama ukubwa betri na...
Back
Top Bottom