Nahitaji laptop kwa ajili ya kuanza kujifunza programming language

martial arts

Senior Member
Jun 26, 2014
191
99
Refer to the heading above, nahitaji kupata laptop ambayo itanifaa katika harakati zangu za kufikia malengo yangu ya kuwa best hacker kwa kuanza kujifunza programming language.

Je ni laptop gani naweza kuanza nayo isiwe juu ya 300000, kwa sababu hali ya kiuchumi kama mnavyoifahamu.
 
Unataka kuwa hacker? Any way computer yeyote tu. Unaweza ukajifunzia hacking nenda jf store kule kunajamaa aliweka mavitabu ya programming
 
ukitaka kuwa hacker computer yeyote inakufaa ila angalia yenye uwezo zaidi kama hii unaweza kuchukua computer ya dell au hp zenye uwezo huu
,?processor pentium d au r yenye kuanzia 2.8 ghz kwenda juu/ram chukua kuanzia 1gb na angalau iweze kubeba window 7 ok na mengneyo kama ukubwa betri na kazalika kama kawaida upo na danford a.k.a young money
 
Refer to the heading above, nahitaji kupata laptop ambayo itanifaa katika harakati zangu za kufikia malengo yangu ya kuwa best hacker kwa kuanza kujifunza programming language.

Je ni laptop gani naweza kuanza nayo isiwe juu ya 300000, kwa sababu hali ya kiuchumi kama mnavyoifahamu.

hakuna laptop inayouzwa bei hio unless ni used. laptop ya bei rahisi duniani inauzwa dola 199 ambayo imezidi laki 3.

hata mtu akikutajia aina fulani ya laptop kwa hio budget hutoipata.

1. nenda jukwaa la matangazo eka budget yako wanaouza laptop watakutajia aina za laptop chagua nzuri kati yao.

2.achana na laptop katafute desktop kkoo kwa hela hio utapata mashine nzuri tu ya kuanzia maisha
 
Back
Top Bottom