Diamond Chibu Dangote ndani ya jumba la Big Brother Afrika

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,906
10,390
Kijana wetu anatuwakilisha vyema kwenye jumba la BBA kwenye Disco Night. Wale wenye kuona BBA wa-tune 198 wamuone kijana wetu anavyofanya maajabu.

Alli Kiba atasubiri sana kwa mkali huyu mpaka aje kupata exposure kama hizi nadhani diamond atakuwa kwenye level nyingine kubwa sana kimataifa.

Ali Kiba jipange acha kuimba nyimbo zisizo na mashiko eti "Msiniseme kama napenda kula".
 
Dj wa leo mbongo,naona kapiga wimbo wa Ali kiba mwanadarasala watu kama wameboreka fulani mziki hauchezeki.Idris ndio yuko busy anajichezea huo wimbo.
Wapwa majuzi wacha wafurahi kusikia ngoma ya Mwana-Dar es salaam imepigwa BBA!!!
 
Acheni upumbavu nyie ali kiba ni mashine sio tu mnaongea utumbo

Nami nikuunge mkono katika hili na nikizipenda sana tungo za Kiba. tatizo la huyu kijana hajapata wadhamini na mapromotter wazuri wa kupromote kazi zake. Vivyo hivyo nae kuliogopa soko la ushindani na kuridhika na alipofikia. Diamond ni mtungaji na mwimbaji mzuri mwenye uthubutu na kujitafutia maendeleo yake mwenyewe.Kiba kusema ukweli anamwacha mwenzie kwa mbali sana kimuziki ila aachane na uswahili wa k'koo apige shoo za mikoani na nchi jirani na apate marafiki watakaomwendeleza na huko atajijengea kujiamini. Hii kutamba mitandaoni na watoto wake watatu haimpi umaarufu wowote kwani hata mende ana watoto. Ujue kijana ukishaanza kujivisha majukumu mazito ya familia tena ya kila mtoto na mama yake huupati tena uwezo na muda wa kujiendeleza. Atafute maendeleo kwanza na kujenga jina aweze kuwa na studio yake akiba ya kutosha. Ukwasi alio nao Diamond kwa sasa ni mkubwa na akitaka kuwa na watoto wakati wowote na hata angekuwa na umri wa miaka sabini bado atawapata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom