DANFORD PIUS HAMISI
Member
- Sep 2, 2014
- 52
- 4
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri.
Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000.
Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb.
Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.chukua dell mzee by danford