Recent content by Bhujegwe

  1. Bhujegwe

    Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Sijajua km huyo marehemu angekuwa ndugu yako wa damu hayo ungepata ujasiri wa kuyaandika
  2. Bhujegwe

    Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

    Halaf jamii ya kenge bluu km ww mtaongozwa na lile kaburi la kwenu au
  3. Bhujegwe

    Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

    Tuwekeeni voice note hapa nasi tumsikilize coz tunaweza kujikuta tumelazimishwa kuimba fikra zenu pekee
  4. Bhujegwe

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ndugu unajua tulio wengi tunaliangalia hili kwa juujuu sana. Si mda dunia itaimba wimbo mmoja. Hivi km tunao makanisa kibao na manabii,mitume,wachungaj na maaskof wengi tu,hujiuliz why not hawajashupalia kulipinga kwa nguvu zao zote!!!!?? Coz they know clearly what's coming. Wanaliongelea...
  5. Bhujegwe

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hii issue iko tricked na ina macho makali ya mbali,watu wakae kwa tahadhari pana. Sijui sn lkn nionavyo itakuja ing'oke na watawala na vyama vya siasa vimetawala miaka mingi (hasa wataojifanya rigid). Nijuavyo wale jamaa hajawah ku fail wanapolitaka jambo lao. Kwa mbalii nayaona yakirejelea ya...
  6. Bhujegwe

    Wanaume wengi hamna uwezo tena siku hizi, maneno matupu na kujisifu bure

    Binafsi kaniacha nikimshangaa kuona hajijui km yey ndiye mwenye tatzo licha ya kukiri kuwa alikuwa kajaza stress kichwan. Alitarajia yule mwamba afanye kaz mbili kwa wakat mmoja,yaan amuondolee stress then amfikishe kileleni😀🤣🤣 Hakuna mwanaume angeweza hilo
  7. Bhujegwe

    Kutumbuliwa kwa Mashimba Ndaki kwapeleka kilio Maswa

    Wataalamu wa body language husikeni na mkao wa Wazir mpya
  8. Bhujegwe

    Naomba kufahamu Wasifu wa James Mwainyekule, Mkurugenzi Mkuu mpya wa EWURA

    Kheee kumbe! Hii couple ndiyo inaujua utamu wa cake ya taifa. Wengine kelele tu
  9. Bhujegwe

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tanga sidhani kama kuna kiongozi pale; labda cheo alipewa Kwa connection

    Ungeweka hiyo audio clip ya RC nasi tukamsikiliza,ungetusaidia kufanya uchambuzi mzuri juu yake
  10. Bhujegwe

    Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kusimamisha magari kwa saa tatu ni halali?

    Hata km angekuwa PM bado siyo busara kusimamisha magari masaa 2. Hii nchi taratibu inajiresha kwenye u mangi mtu. Ukizuia barabara ni kusimamisha uchumi kwa mda huo kwan hapo kuna watu wanawahi hosptalin,kwenye masoko n.k Siyo sawa kabisa!
  11. Bhujegwe

    Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

    Ninapopitia maoni ya watu juu ya huyo Bwana mdogo hadi nashawishika kudhani km huko gerezani ndiyo uliko usalama kwake kuliko akija uraiani. Ni kama vile Arusha ile haikuwah kumshuhudia mtu katili zaid ya Sabaya....duh🤭
  12. Bhujegwe

    Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

    Hayo makasia yanayotumiwa na wavuvi unayajua yakoje? Au unafananisha na mwiko wanatumia kupikia home? Jikiteni kutafuta reality tu!
  13. Bhujegwe

    Serikali ya Muungano kujenga Ikulu Zanzibar

    Ilijengwa Chato mkanyamaza,leo ikajengwe Zenj mshaanza kupuliza😄wabongo aliyeturoga alishakufa na kaburi lake halijulikan liko wp. Tena habr itanoga nikickia hata uwanja wa ndege utajengwa huko...acheni double standard
Back
Top Bottom