Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama, Dar es Salaam wamehimizwa kumtegemea Mungu na kuacha kulinda makaburi ya wengine, huku wakihimizwa kutambua umuhimu wa watu wenye pesa (matajiri) kwenye injili.

Akihubiri katika ibada ya pasaka kanisani hapo, leo Jumapili, Aprili 9, 2023 Mchungaji Eliona Kimaro, amesema baadhi ya nchi za Kiafrika zinawapa majina ya ajabu matajiri, lakini ni watu wenye nguvu ambao injili inawatambua.
"Wengine wanawaita mafisadi, mara wakwepa kodi na majina ya ovyo, lakini ukifika kwa Yesu anawaheshimu sababu ndiyo waliomzika," amesema mchungaji huyo na kuongeza.

"Ninachokiona ni kiroho papo, mnawaita freemasons na majina mabaya, lakini wana nafasi yao kwenye injili," amesema mchungaji huyo akimtolea mfano Yosefu wa Arimathaya, aliyekuwa tajiri na kwenda kwa Pilato kuomba mwili wa Yesu auzike. "Matajiri ndio wanaficha aibu ya kanisa, lakini nao wajifunze kwa Yosefu aliyekuwa amejitengenezea kaburi lake, akaenda kumzika yesu.

"Katika familia zetu, mmoja Mungu akimbariki ndiye anaficha aibu ya familia, lakini tatizo lililopo ni chuki na wivu, utakuta mtu haongei na ndugu yake kisa ni tajiri, ndiye Mungu amembariki," amesema mchungaji huyo akishangiliwa kwa nguvu na waumini waliokuwa wamefurika kanisani hapo.

Amesema Pasaka hii inapaswa kubadilisha matendo ya watu, akitolea mfano kwamba roho mbaya zilikuwepo tangu wakati wa Yesu.
Mchungaji Kimaro aliyeanza kwa kusoma maandiko katika kitabu cha Wakorintho wa kwanza, 15:12 amesema dunia ina watu wana roho mbaya, lakini mbingu zinawalinda watu wake siku zote.

"Maandiko yanasema, askari baada ya kumuua Yesu waliomba kaburi lake lilindwe can you imagine (embu fikiria).
"Waliona haitoshi, tayari wameshamuua na kwenda kumlinda, ndivyo ilivyo katika jamii yetu, kuna watu wanasema nitahakikisha yule anafukuzwa kazi na haajiriwi popote au nitahakikisha nakitia kitumbua mchanga hakitafuniki, katika Pasaka ya mwaka huu, hakikisha hulindi makaburi ya watu," amesema.

Mchungaji huyo alitania kwamba siku hizi, ukimwaga mboga, basi mwingine anaondoa jiko kabisa sio kumwaga ugali.
"Utakuta mtu yuko Mwanza, wewe uko Dar es Salaam, hamkutani, lakini analinda kaburi lako, nguvu ya ufufuo ipo," amesema mchungaji huyo.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Askofu Malasusa na genge lake la kimafia walikosea sana kumsimamisha kazi mchungaji Kimaro bila sababu za msingi. Roho mbaya zimewajaa watu wa Mungu hata kuliko watu wa mataifa. Hii yote ni kwa sababu ya kiroho papo.

Mchungaji Kimaro leo amepita mulemule bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kama mbwai iwe mbwai, tumechoka kukandamizwa bila sababu, ebo!
 
Amekosea... kila mtu ana umuhimu wake.

Hao anaosema ni maskini ndo huwa wanatenga mda wa kuja kudeki kanisani na kufanya usafi wa mazingira.
Mkuu leo somo liliegemea kwa matajiri usiwaonee wivu.
Maskini wanatiwa moyo kila siku lakini matajiri husimangwa na kupewa majina mabaya kila siku
 
Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama, Dar es Salaam wamehimizwa kumtegemea Mungu na kuacha kulinda makaburi ya wengine, huku wakihimizwa kutambua umuhimu wa watu wenye pesa (matajiri) kwenye injili.

Akihubiri katika ibada ya pasaka kanisani hapo, leo Jumapili, Aprili 9, 2023 Mchungaji Eliona Kimaro, amesema baadhi ya nchi za Kiafrika zinawapa majina ya ajabu matajiri, lakini ni watu wenye nguvu ambao injili inawatambua.
"Wengine wanawaita mafisadi, mara wakwepa kodi na majina ya ovyo, lakini ukifika kwa Yesu anawaheshimu sababu ndiyo waliomzika," amesema mchungaji huyo na kuongeza.

"Ninachokiona ni kiroho papo, mnawaita freemasons na majina mabaya, lakini wana nafasi yao kwenye injili," amesema mchungaji huyo akimtolea mfano Yosefu wa Arimathaya, aliyekuwa tajiri na kwenda kwa Pilato kuomba mwili wa Yesu auzike. "Matajiri ndio wanaficha aibu ya kanisa, lakini nao wajifunze kwa Yosefu aliyekuwa amejitengenezea kaburi lake, akaenda kumzika yesu.

"Katika familia zetu, mmoja Mungu akimbariki ndiye anaficha aibu ya familia, lakini tatizo lililopo ni chuki na wivu, utakuta mtu haongei na ndugu yake kisa ni tajiri, ndiye Mungu amembariki," amesema mchungaji huyo akishangiliwa kwa nguvu na waumini waliokuwa wamefurika kanisani hapo.

Amesema Pasaka hii inapaswa kubadilisha matendo ya watu, akitolea mfano kwamba roho mbaya zilikuwepo tangu wakati wa Yesu.
Mchungaji Kimaro aliyeanza kwa kusoma maandiko katika kitabu cha Wakorintho wa kwanza, 15:12 amesema dunia ina watu wana roho mbaya, lakini mbingu zinawalinda watu wake siku zote.

"Maandiko yanasema, askari baada ya kumuua Yesu waliomba kaburi lake lilindwe can you imagine (embu fikiria).
"Waliona haitoshi, tayari wameshamuua na kwenda kumlinda, ndivyo ilivyo katika jamii yetu, kuna watu wanasema nitahakikisha yule anafukuzwa kazi na haajiriwi popote au nitahakikisha nakitia kitumbua mchanga hakitafuniki, katika Pasaka ya mwaka huu, hakikisha hulindi makaburi ya watu," amesema.

Mchungaji huyo alitania kwamba siku hizi, ukimwaga mboga, basi mwingine anaondoa jiko kabisa sio kumwaga ugali.
"Utakuta mtu yuko Mwanza, wewe uko Dar es Salaam, hamkutani, lakini analinda kaburi lako, nguvu ya ufufuo ipo," amesema mchungaji huyo.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Askofu Malasusa na genge lake la kimafia walikosea sana kumsimamisha kazi mchungaji Kimaro bila sababu za msingi. Roho mbaya zimewajaa watu wa Mungu hata kuliko watu wa mataifa. Hii yote ni kwa sababu ya kiroho papo.

Mchungaji Kimaro leo amepita mulemule bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kama mbwai iwe mbwai, tumechoka kukandamizwa bila sababu, ebo!
Wewe umeeleza vizuri
 
kumbe mchungaji katema madini ya ukweli kinyama alafu kuna vijitu na roho zao mbaya wanachuja maneno kuleta fitna zao humu kutokana na chuki zao za kichato
 
Mchungaji kamaliza kila kitu aisee....kawakaanga ile mbaya akina Malasusa na genge lake la roho mbaya.
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema hayo mahubiri yalikuwa ni vijembe kwa uongozi wa Dayosisi? Kwamba wanamuonea wivu kwakuwa yeye ni mchungaji tajiri?
 
"Katika familia zetu, mmoja Mungu akimbariki ndiye anaficha aibu ya familia, lakini tatizo lililopo ni chuki na wivu, utakuta mtu haongei na ndugu yake kisa ni tajiri, ndiye Mungu amembariki,"
 
Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama, Dar es Salaam wamehimizwa kumtegemea Mungu na kuacha kulinda makaburi ya wengine, huku wakihimizwa kutambua umuhimu wa watu wenye pesa (matajiri) kwenye injili.

Akihubiri katika ibada ya pasaka kanisani hapo, leo Jumapili, Aprili 9, 2023 Mchungaji Eliona Kimaro, amesema baadhi ya nchi za Kiafrika zinawapa majina ya ajabu matajiri, lakini ni watu wenye nguvu ambao injili inawatambua.
"Wengine wanawaita mafisadi, mara wakwepa kodi na majina ya ovyo, lakini ukifika kwa Yesu anawaheshimu sababu ndiyo waliomzika," amesema mchungaji huyo na kuongeza.

"Ninachokiona ni kiroho papo, mnawaita freemasons na majina mabaya, lakini wana nafasi yao kwenye injili," amesema mchungaji huyo akimtolea mfano Yosefu wa Arimathaya, aliyekuwa tajiri na kwenda kwa Pilato kuomba mwili wa Yesu auzike. "Matajiri ndio wanaficha aibu ya kanisa, lakini nao wajifunze kwa Yosefu aliyekuwa amejitengenezea kaburi lake, akaenda kumzika yesu.

"Katika familia zetu, mmoja Mungu akimbariki ndiye anaficha aibu ya familia, lakini tatizo lililopo ni chuki na wivu, utakuta mtu haongei na ndugu yake kisa ni tajiri, ndiye Mungu amembariki," amesema mchungaji huyo akishangiliwa kwa nguvu na waumini waliokuwa wamefurika kanisani hapo.

Amesema Pasaka hii inapaswa kubadilisha matendo ya watu, akitolea mfano kwamba roho mbaya zilikuwepo tangu wakati wa Yesu.
Mchungaji Kimaro aliyeanza kwa kusoma maandiko katika kitabu cha Wakorintho wa kwanza, 15:12 amesema dunia ina watu wana roho mbaya, lakini mbingu zinawalinda watu wake siku zote.

"Maandiko yanasema, askari baada ya kumuua Yesu waliomba kaburi lake lilindwe can you imagine (embu fikiria).
"Waliona haitoshi, tayari wameshamuua na kwenda kumlinda, ndivyo ilivyo katika jamii yetu, kuna watu wanasema nitahakikisha yule anafukuzwa kazi na haajiriwi popote au nitahakikisha nakitia kitumbua mchanga hakitafuniki, katika Pasaka ya mwaka huu, hakikisha hulindi makaburi ya watu," amesema.

Mchungaji huyo alitania kwamba siku hizi, ukimwaga mboga, basi mwingine anaondoa jiko kabisa sio kumwaga ugali.
"Utakuta mtu yuko Mwanza, wewe uko Dar es Salaam, hamkutani, lakini analinda kaburi lako, nguvu ya ufufuo ipo," amesema mchungaji huyo.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Askofu Malasusa na genge lake la kimafia walikosea sana kumsimamisha kazi mchungaji Kimaro bila sababu za msingi. Roho mbaya zimewajaa watu wa Mungu hata kuliko watu wa mataifa. Hii yote ni kwa sababu ya kiroho papo.

Mchungaji Kimaro leo amepita mulemule bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kama mbwai iwe mbwai, tumechoka kukandamizwa bila sababu, ebo!
Hayo sio.mahubiri ni mipasho kama ya taarabu

Hayako viwango vya mahubiri

Kwa hiyo kageuza madhabahu ka a eneo la mipasho ya taarabu kumpasha Malasusa au?
 
"Katika familia zetu, mmoja Mungu akimbariki ndiye anaficha aibu ya familia, lakini tatizo lililopo ni chuki na wivu, utakuta mtu haongei na ndugu yake kisa ni tajiri, ndiye Mungu amembariki,"
Muombeeni sana mchungaji wenu.

Shetani akianza kukutumia anafanya uwe na kiburi sana, anakufanya ujione wewe ndio kila kitu, bila wewe hakuna linalowezekana. Shetani anaweza kukufanya ujione umebarikiwa kuliko yeyote.

Mtumishi wa Mungu ni mtu anayepaswa kuwa mnyenyekevu wa mfano,yeye hupenda sana kuwatolea mfano mapadre. Sasa muulizeni pia ajifunze unyenyekevu kutoka kwa hao Mapadre wa Katoliki.

Mtumishi wa Mungu akiwa na kiburi, jua hakuna MUNGU ndani yake, ana kamungu kake kengine.
 
Wewe unataka wahuni wamkandamize bila kujitetea? Wewe vipi? Unaona walichomfanyia kumpa likizo ya siku 60 bila sababu na bila malipo ni sahihi? Acha kutetea uovu mkuu, Mungu anakuona.
 
Ogopa sana Kanisa likianza kujikita katika kutafuta pesa kuliko kusimamia misingi yake. Kupenda fedha kunavuruga misingi ya kila kitu.

Wenyewe wanafahamu walifanya makosa makubwa sana kumrudisha Kijitonyama. Ni udhaifu mkubwa sana.

Catholic Church inaheshimika sana kwasababu haingalii mtu usoni, likisema limesema ni barua moja, unahamia huko Katavi.

Sasa wenzetu hawa, sadaka zimepungua kidogo usharikani, watu wenye pesa usharikani wamepandisha mabango ya mchungaji mjini na waumini wamepungua kanisani eti wanaamua kusema beleshi ni kijiko kikubwa.
Mkuu kubali tu genge lenu la wahuni, mkiongozwa na Malasusa, mmeshindwa. Kwanini mnakuwa na roho za papo? Acheni Mchungaji Kimaro ahubiri injili. Kwani nyie kinawauma nini mbona mnakuwa na wivu wa kike? Tulieni jamani. Mbona mnawashwa sana?
 
Kwa akili yako wewe unadhani gap la maskini na matajiri litakaa lipotee?

Reality ipo hivo, dunia ina maskini na matajiri, kwahiyo unavyoongea jaribu kuweka mizania kwa pande zote.

Wachungaji kama hawa ndo wanafanya wengine tusiwe tunahudhuria kanisani
Soma alichoongea ibada nzima; usikariri maneno machache. Mchungaji Kimaro alikuwa anawakaanga waliomkaanga kwa kumpa likizo chonganishi ya siku 60. Hebu msome hadi mwisho hapa chini
 
Back
Top Bottom