Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

Kuna magazeti ya leo yameipa habari hii kichwa kikubwa wino mweusi huku habari za watumishi wa mungu na kukemea kwao kote ushoga zimeishia kuandikwa vichwa vidogo kana kwamba hazina uzito kwa taifa
Je, nilichokiandika na Kukigusia GENTAMYCINE nilikuwa sahihi au namuonea Mama na Utawala wake?
 
GENTAMYCINE ana akili kubwa
Hoja yake anataka usawa katika kuchukulia mambo kwa maana kila dini Ina uzito wake
Lakini nikukumbushe kuwa utaratibu wa serikali kutoa press release siku yoyote bila kujali ni siku ya ibada au Sikukuu uliasisiwa na CHUMA JPM hivyo SSH anaendeleza tuu
 
Back
Top Bottom