Serikali ya Muungano kujenga Ikulu Zanzibar

Ikulu Dar es Salaam..

Ikulu Dodoma...

Ikulu Zanzibar....

Zote hizo za nini?

Halafu ya Dodoma bado haijamalizika, washakimbilia kujenga nyingine Zanzibar ya nini?
Ikulu ni ofice, na hufanya kazi za jamuhuli kuliko kulala tu watu kama wanavo dhani
 
Ikulu Dar es Salaam..

Ikulu Dodoma...

Ikulu Zanzibar....

Zote hizo za nini?

Halafu ya Dodoma bado haijamalizika, washakimbilia kujenga nyingine Zanzibar ya nini?
huyu bibi na kina madelu ni janga la kitaifa, jiulize zenji inajengwa ikulu kwanini?
 
Ilijengwa Chato mkanyamaza,leo ikajengwe Zenj mshaanza kupuliza😄wabongo aliyeturoga alishakufa na kaburi lake halijulikan liko wp.
Tena habr itanoga nikickia hata uwanja wa ndege utajengwa huko...acheni double standard
 
10% zinapatikana kwenye miradi mipya. Miaka ya hivi karibuni sijui kama bado ni 10% Au imekuwa zaidi.
 
Tofauti ni kwamba JPM alijenga ndani ya nchi wakati Hangaya anajenga nje ya nchi.
Tofauti ipo bwana. Ya Magu atatumia nani kule Chato? Ya Zanzibar akimaliza yeye raisi mwengine yo yote pindi atakapokwenda Zanzibar ataitumia hiyo Ikulu ndogo.
 
Back
Top Bottom