Recent content by Asprin

  1. Asprin

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Ungekuja kwangu nikupe usingizi mwororo... Ukilala pembeni ya babu unakuwa na usalama wa uhakika...
  2. Asprin

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Lala mrembo.... Punguza hofu. Serikali ya awamu ya sita iko macho inakulinda....
  3. Asprin

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Waseme au warudie??? Mbona wameshasema tayari?
  4. Asprin

    New Couple in Town! I love you so much!

    Tunazeeka na vizuri vinaongezeka...
  5. Asprin

    New Couple in Town! I love you so much!

    Mzee mwenzangu naona umetekwa na wajukuu.... Kupatwa kwa babu....
  6. Asprin

    New Couple in Town! I love you so much!

    Hunipendi kama zamani ndio maana....
  7. Asprin

    Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Mimi nakuangalia tu... Afu nacheka nhi nhi nhi!
  8. Asprin

    New Couple in Town! I love you so much!

    Tuanzishe letu binti Msowoya.... Tuwaoneshe nini maana ya kupenda.... Ulipo, nipo.
  9. Asprin

    Aina gani ya choo ni bora zaidi?

    Namba 1 na 3 ni kitu kimoja. Sema kuna kausanii kanafanyika kudanganya watu. Mfumo huohuo mmoja ukiuweka Kimara na Bunju kuna sehemu moja utalazimika kunyonya majitaka na kwingine utazeeka shimo halitokaa lijae...
  10. Asprin

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Yaani kashaonesha ukicheche afu anataka asionekane kicheche... Mbinguni ataenda kudeki vyoo vya stendi...
  11. Asprin

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Mbona tayari kashaonesha ukicheche wake?
  12. Asprin

    RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

    Matokeo yake, meza imepinduliwa.... Karma is a bitch...
Back
Top Bottom