Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Hata mi siwezi, uzuri kipindi hicho nilikuwa nikimpenda tu mkaka na yeye ananipenda, hivyo sijawahi sumbuka...
Hahahahaha ukimpenda anakupendaje tu bila kumpa signals.

Kuna mambo ulikuwa unayafanya aidha kwa kujua au kutokujua na ndio yaliwapa alert kuwa upo ready ku click nao thus why walikuwa wanakubless plus ile haiba na mvuto wa kike.
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Mbona tayari kashaonesha ukicheche wake?
 
Hahahah hamna kijana anakataa offer ya mbunye, thats one in a million chances ndio inakuwa denied.
Sema wanawake akikutaka aisee wanakuaga ving'ang'anizi balaa kuliko ata sisi wanaume. Yaani hata ufanye nini lazima tu atakula mzigo hawezi kukubali 😄😄

Nadhani kitendo cha mwanamke kumtaka mwanaume halafu akakataliwa hua kinamfrustrate sana kuliko sisi wanaume tukikataliwa tunachukulia poa tu.
 
Hahahahaha ukimpenda anakupendaje tu bila kumpa signals.

Kuna mambo ulikuwa unayafanya aidha kwa kujua au kutokujua na ndio yaliwapa alert kuwa upo ready ku click nao thus why walikuwa wanakubless plus ile haiba na mvuto wa kike.
Nafikiri ni vile nilivyokuwa na kamuonekano Fulani hivi kama Unique Flower ndo maana walikuwa hawachomoi..

Joke
 
Back
Top Bottom