Live coverage on JamiiForums
NILIWAMBIA TANESCO WATAKATA UMEME MPIGE PASI NGUO ZA JUMUIYA MSISINGIZIE HIDAYA ONA TUKO NJE TOKA SA TISA TUNASUBIRIA JUMUIYA....EE MOLA TUSAIDIE
 
Ohoooo jaman mpo???naona kimezidi
Utabiri wa yule nabii Boniface unatimia nini!? Alitabiri kuwa Dar huenda ikachakazwa vibaya kati ya mwezi wa nne ama tano. Alipata maono kuhusu huyu Hidaya nini?

Kihistoria huenda miaka isiyopita 100 huko nyuma huenda tufani kubwa kama hii oliwahi kutokea. Kwa nyakati kama hizi maombi ya kweli kwq Mungu yanahitajika sana.
 
TANGAZOOO

shuhuliii ipooo kwa wattu wembambaa hakikishen popote mlipoo mko na wengine wa kuwasapoti huu upepooo n sombasombaa kwa afya zisizo na msimamooooooo....

muhimu mjihadhari kutembea pekeyenu kwa usalama wenu

hakikisha unaekuwa nae ana afya kidogo sio kama wewe maana utawasomba wote akuna wa kumsaidia mwenzie
 
Wale ma single hakikishen mkoo na hata hgal ikitokea shida kwakoo apige kelele pls hapa ndioo nawaza usingle na madhara yake
 

View: https://youtu.be/8dPQrIPxqnA?si=R-xT9ORS2CpG9jf1


Angalieni video hiyo kuona mfano wa speed (kasi ya upepo huo) kulingana na kesho kitakuja na speed kati ya 75km/h hadi 100km/h

Sio video halisi ni mfano wa kuonyesha nguvu ya upepo katika units zake za m/s au km/h

Hii no hatari

View: https://youtu.be/8dPQrIPxqnA?si=R-xT9ORS2CpG9jf1


Angalieni video hiyo kuona mfano wa speed (kasi ya upepo huo) kulingana na kesho kitakuja na speed kati ya 75km/h hadi 100km/h

Sio video halisi ni mfano wa kuonyesha nguvu ya upepo katika units zake za m/s au km/h

Hii ni hatari
 
HUUU MWAKA WA.MAAFA

NASHAURII SERIKALI IJIANDAE KUAAIDIA WAHANGA MAANA NAJUA MPAKA LEO ASBH NYUMBA NYINGI ZITAKUWA ZIMESAMEHEWA DHAMBI ZAOO KWA KUONDOLEWA NA MABATI AMA UHARIBIFU ZAIDI

WAZIRI WA MAJANGA MDA WAKE KUTOLALA..ANYWAY..MAOMBI PIA N MUHIMU YAAN HUKU MBEZIBEACH UNAVYOPULIZA KAMA N MWEMBAMBAA UNAPITA NA WEWE
Jkn
 
Back
Top Bottom