Physics principal inasema sio goli, sawa Yanga!

Hapo ume assume uwanja/pitch ni kama sakafu ya cement huja consider kuwa uwanja ni wa nyasi bandia na unabonyea kwa milimetre kadhaa pia huja consider kuwa lile eneo hukanyagwa kanyagwa hivyo basi mpira uliopigwa kwa force kubwa ukagonga mwamba ukaenda chini kwa nguvu ile ile au pungufu ukitua chini kwenye nyasi bandia lazima pabonyee kwa milimetre kadhaa kisha utatengeneza kitu kama curve then utabounce kuelekea nje ya goli kumbuka hiki ni kitendo cha sekunde kadhaa .. Je upo hapo mkuu?
 
Nenda kasome topic ya PROJECTORY MOTION masuala ya
1. Initial velocity
2. Angle of projection
3. Range .

Maana tunategemea kuwa kama mpira uligonga mstari wa chini wa goli basi baada ya rebound ingetakiwa kurudi na kugonga mwamba wa juu wa goli lakini Hilo halikutokea Kwa sababu ya Kasi ya mpira baada ya kudunda lakini pia ni sababu ya gravitational effect.
🤣🤣
 
Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
Kwani Goal.com Magwiji wa soka toka UK wanasemaje?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Screenshot_2024-04-07-16-00-31-66_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Principal gani hiyo kwenye phyics, hapo tu inatosha kuonesha wewe fizikia huijui.
Upone, bahati yako huwa sibeti lakini nilikuhakikishia kuwa Tp Mazembe si wa mchezo mchezo hadi uamini hawatafuzu nusu fainali CAFCL sababu tu hakuwafunga Petro De Luanda kwao DRC, nadhani umeshuhudia sasa
 
nan
Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
wewe umekariri,hujasoma...tanzania hatuna wasomi usilete ujinga hapa
 
Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
Hivi physics ina principal ngapi na hii unayoongelea ni ya ngapi?
 
Ukiwapeleka huko kwenye fizikia ndiyo utawapoteza kabisa. Wajiulize tu ni kwa nini Aziz Ki alipiga mshuti kama beki wa kati anayetaka kuosha? Pale angejipinda akapiga shuti la pembeni wala tusingekuwa hapa.
 
Back
Top Bottom