kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 17,706
- 14,888
NakusibiriaSio kivile 😂😂😂
NakusibiriaSio kivile 😂😂😂
Sio ishu sanaUyo manzi sindo wa third floor au umeridhia tu hivyo hivyo kikubwa uhai
Unafikiri utachomoa?
Nipe koneksheni nami niweke historia mkuu...😂Hivi yule ulimpeleka wapi?
kiwatengu Umeona kaka habari hio. Hii ndio alikuwa akimaanisha mtoa mada.Mada faka I’m not yoo taipu
Aisee....🤣🤣🤣Sio najitekenya?
Tuanzishe letu binti Msowoya....Kupendana sio kazi
kazi kudumisha upendo
all the best
Mpe darasa mkuu, maana na nyie mlitutangazia hapa hapa kwahiyo na wao likiisha wasiache kututaarifu.Hongereni sana, kama ni kweli mwaya financial services I’m happy for you.
Mzee mwenzanguTuanzishe letu binti Msowoya....
Tuwaoneshe nini maana ya kupenda....
Ulipo, nipo.
Babu umeadimika sanaAisee....
Hunipendi kama zamani ndio maana....Babu umeadimika sana
Mzee mwenzangu naona umetekwa na wajukuu.... Kupatwa kwa babu....Mzee mwenzangu
Si mchezo wajukuu wamekuwa wazuri sanaMzee mwenzangu naona umetekwa na wajukuu.... Kupatwa kwa babu....
Tunazeeka na vizuri vinaongezeka...Si mchezo wajukuu wamekuwa wazuri sana
mshamba_hachekwi we uchawi una kufata 😆😆Unamuona mtu ni mpole kumbe huko PM anafanya makubwa
Hongereni