Recent content by Amos David Mathias

  1. Amos David Mathias

    Siyo unashupalia kataa ndoa halafu unajichua na kununua malaya

    Punguza ushauri watu Wana mipango Yao tayari.
  2. Amos David Mathias

    Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Sasa jiroge ujidai wewe ndyo Baba Huruma umrejeshe kwenye maisha Yako huyo singo mama.Nafikiri umeona nyuzi za singo Maza wengi. Jithamini pia ndugu yangu unanuaje gari lilitumika wakati mapya 0 km yapo.
  3. Amos David Mathias

    Kwanini wanaume wako hivi?

    Kwahiyo wanaojazwa wanajitoa ufahamu
  4. Amos David Mathias

    Kwanini wanaume wako hivi?

    Kwahiyo umeshajazwa mimba,singo mama mpya in town.
  5. Amos David Mathias

    Anaomba ushauri: Dogo anataka kurudi Dar

    Mwambie aache ila atajua wa kumtegemea!!!!
  6. Amos David Mathias

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Akipandisha sauti na wewe mjie juu. Alafu mbona ulimkazania wakati alionesha majibu ya ovyo tangia muda kama "Utanioa nikishanunua gari" Wanawake wengi humble wapo. Kingine kwanini ulimchukua mwanamke mliyelingana umri???
  7. Amos David Mathias

    Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Mkuu kama ni nyeto Hilo sio jambo la kuwaza hata kidogo. Wenzako Kila siku tunaishi na maumivu makali ya mgongo nafuu tunapata tukilala tu tukiamka maumivu pale pale mchana kutwa.Hatuwezi kuegemea kiti Kwa muda mrefu sababu ya maumivu. Hatuwezi kula sababu tumbo linajaa na kuuma na tunakosa...
  8. Amos David Mathias

    Wako wapi wale waliokuwa wanajipangia mshahara wakiona wanakaribia kumaliza chuo

    Maisha ni mwalimu mzuri.Kuna Ile tabia mtu anakaribia kumaliza chuo au anakuwa amemaliza kabisa chuo anakuwa anapanga kabisa kwamba Mimi nikienda mtaani sifanyi kazi chini ya hela kiasi Fulani. Watu wanajipangia mishara mikubwa sana na kujiaminisha.Wakija kuingia na mtaani Kwanza wanakutana na...
  9. Amos David Mathias

    Hivi inawezekana kumaliza chuo bila kuingia kwenye mahusiano

    Mkuu kwanini unataka kuwa na girl friend?? Je una malengo ya kumuoa?? Kama huna lengo la kuwa naye baadaye fuata kilichokupeleka chuoni, uzinzi hautakusaidia.Na mkishazini hutampenda tena Wala kumuoa.
Back
Top Bottom