Kwanini wanaume wako hivi?

Uliwahi ona wapi mchezaji anafunga goli anashangilia pale pale? Hukimbia na kwenda kushangilia mbali kabisa
 
Kabla hamjafanya sex lazima kwanza muwekeane malengo haimainishi kila unapokuwa kwenye mahusiano lazima ubebe mimba lazima kuwa na maridhiano ya pande zote mbili kabla, sasa wewe unabeba mimba wakati mwenzako hajapanga awe na mtoto kwa wakati huo ndio maana inaleta hiyo shida.
 
Wakati mna sex hamkujua kuna results? kabla hamjafanya mkubaliane kabisa outcome or else msi shiriki kabisa
shida ni kwamba ashki/Genye zinakuwa nyingi, kichwa cha chini kinawaza mengi kuliko kichwa cha juu, wakishamaliza ndio wanagutuka
Kabla hamjafanya sex lazima kwanza muwekeane malengo haimainishi kila unapokuwa kwenye mahusiano lazima ubebe mimba lazima kuwa na maridhiano ya pande zote mbili kabla, sasa wewe unabeba mimba wakati mwenzako hajapanga awe na mtoto kwa wakati huo ndio maana inaleta hiyo shida.
 
Mnasex wote , mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.

Why mpo hivi?
Kama binti/mwanamke ukijua tu kuwa mimba utabeba wewe miezi 9 peke yako basi utatambua kuwa mtoto ni wako. Fanya kavukavu kwa akili! Beba tumbo pale unapotaka wewe na ukiwa at full capacity otherwise utatusumbua tu rafiki na ndugu zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom