Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Mkuu kama ni nyeto Hilo sio jambo la kuwaza hata kidogo.

Wenzako Kila siku tunaishi na maumivu makali ya mgongo nafuu tunapata tukilala tu tukiamka maumivu pale pale mchana kutwa.Hatuwezi kuegemea kiti Kwa muda mrefu sababu ya maumivu.

Hatuwezi kula sababu tumbo linajaa na kuuma na tunakosa choo na tukipata choo ni kidogo sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom