Kwanini wanaume wako hivi?

Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.

Why mpo hivi?
Kwanini ushike mimba? Ni jukumu lako kuhakikisha haushiki mimba. Kama unampango huo mshirikishe na yeye.
 
Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.

Why mpo hivi?
Yani kwanza sie ndio tunatakiwa tuishi nao kwa akili kabla ya yote, maan wachache akili zimo, wachache wanajua nin maan ya mahusiano, wachache wanajua nin maan ya kuitwa baba.

Wanaongoza kusahau familia
Wanaongoza kuchepuka
Wanaongoza kujifyatua akili

Alafu wa Karne hii sasa wanapenda ushost na wadada, kukaa vijiwe vya kusema umbea, kuitana majina ya ovyo ovyo, kuchora tattoo na kupitisha mikorogo.

Tujitahidi sana kuchagua kilicho bora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom